Author: Cynthia Chacha
Ripoti ya Pili: Mhudumu ndiye aliyefungua mlango
Mapya yaibuka Ripoti ya Pili ya Taasisi ya Uchunguzi wa Ajali ya Ndege (AAIB) iliyo chini ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhusu ajali ya ndege ya Pre [...]
Magazeti ya leo Machi 24,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Machi 24,2023.
[...]
Rais Samia na Waziri Majaliwa wanunua tiketi 4000 mechi ya Taifa Stars
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wametoa tiketi 4,000, kwa ajili ya mashabiki kuingia [...]
Aweso amuwakilisha Rais Samia Mkutano wa UN
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso anamwakilisha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Umo [...]
Magazeti ya leo Machi 23,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Machi 23,2023.
[...]
Magazeti ya leo Machi 22,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Machi 22,2023.
[...]
Rais Samia ahimiza vijana kujiunga na kilimo
Huenda sekta ya kilimo Tanzania ikachukua sura mpya kwa kuongeza wigo wa ajira pamoja na mchango katika pato la Taifa mara baada ya Serikali kufanya u [...]
Wafukua kaburi na kuiba sehemu za siri za marehemu
Watu wasiojulikana wamefukua kaburi alipokuwa amezikwa marehemu Ruben Kasala (74) na kuondoa sehemu za siri.
Mtoto wa marehemu, Frank Kasala amesem [...]
Tanzania yapeleka helikopta mbili za msaada Malawi
Serikali ya Tanzania imetuma helikopta mbili nchini Malawi zenye msaada wa vifaa, chakula pamoja na fedha Dola milioni moja (Sh. bil. 2.3) taslimu kwa [...]
Magazeti ya leo Machi 21,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Machi 21,2023.
[...]