Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Aprili 14,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Aprili 14,2023.
[...]
Fahamu miji 8 mizuri barani Afrika
Vyombo vingi vya habari hasa nje ya Afrika, hulizungumzia bara la Afrika kama masikini lenye mazingira ambayo siyo rafiki na kuonyesha picha zenye kue [...]
Afariki dunia baada kunywa pombe bila kula
Asia Eliya (24), Mhudumu wa baa Nyemo amefariki dunia kwa madai ya kunywa pombe kupita kiasi bila kula chakula.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Picha ya Ndeg [...]
Magazeti ya leo Aprili 13,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Aprili 13,2023.
[...]
Nafasi za kazi kwa kada za afya na ualimu, 2023
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA NA ELIMU,2023
[...]
Rais Samia atoa kibali cha ajira kwa watumishi 21,200
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya.
Idad [...]
Magazeti ya leo Aprili 12,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Aprili 12,2023.
[...]
Rais Samia apongezwa na Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amempongeza na kumshukuru Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuu [...]
Wilaya 64 kujengwa vyuo vya ufundi stadi
Serikali imesema imetenga Sh bilioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa vyuo vya ufundi stadi, katika wilaya 64 ambazo zilikuwa hazijajengewa vyuo hivyo.
A [...]
Magazeti ya leo Aprili 11,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Aprili 11,2023.
[...]