Author: Cynthia Chacha
Asakwa kwa kumng’ata mama yake masikio
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, linamtafuta Michael Msapi (40), mkazi wa Kirando mkoani Rukwa kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumng’ata masikio yote mawil [...]
Afungwa jela kwa kumkata bosi kiganja
Mkazi wa Ludewa mkoani Njombe, Baraka Luoga (20) amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la kumjeruhi kwa kumkata kiganja cha mkono bosi wak [...]
Magazeti ya leo Januari 28,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Januari 28,2023.
[...]
Walimu waliomcheka mtoto akichapwa wasimamishwa kazi
Katibu Tawala Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila amewasimamisha kazi watumishi watano akiwamo Mratibu Elimu Kata ya Kalanja na walimu wanne waliokuwa wanach [...]
Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa yazaa matunda, wafanyabiashara wanufaika
Thamani ya biashara kati ya Tanzania na Ufaransa imekua kwa asilimia 40.6 kwa mwaka 2022 kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano baina ya mataifa hayo ku [...]
Magazeti ya leo Januari 26,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Januari 26,2023.
[...]
Lissu: Mwenyekiti yuko wapi
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara) Tundu Lissu ametua nchini, akitokea Ubelgiji alikokimbilia baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 huk [...]
Zumaridi ahukumiwa mwaka mmoja jela
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza imemhukumu Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kumkuta na hatia kati [...]
Orodha ya wakuu wa wilaya wanaoendelea na kazi
Orodha ya wakuu wa wilaya wanaoendelea na kazi.
[...]