Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Desemba 23,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Desemba 23,2022.
[...]
Maji yaanza kujazwa bwawa la Julius Nyerere
Historia imeandikwa leo nchini baada ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kubonyeza kitufe cha kuruhusu maji kujaa katika Bwawa la Kufua Umeme la Julius N [...]
Bwawa la Nyerere kujazwa maji leo
Rais Samia Suluhu Hassan leo atazindua ujazaji maji katika bwawa la kufua umeme kwenye Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uliopo Rufiji mk [...]
Magazeti ya leo Desemba 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Desemba 22,2022.
[...]
Ujenzi wa reli Tabora- Kigoma waiva
Kipande cha ujenzi wa reli ya kati Tabora- Kigoma kitagharimu dola za Marekani bilioni 2.7 sawa na shilingi trilioni 6.34.
Reli hiyo ambayo mkataba [...]
Magazeti ya leo Desemba 21,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Desemba 21,2022.
[...]
Miaka 50 jela kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania
Mahakama Kuu ya Diveshi ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imewatia hatiani watu sita, wakiwamo watatu wa familia moja na kuwahukumu kwenda jela mi [...]
Magazeti ya leo Desemba 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Desemba 20,2022.
[...]
Tanzania yaupiga mwingi Kombe la Dunia Qatar
Tanzania imenufaika na Michuano za Kombe la Dunia nchini Qatar kwa kuongeza mauzo ya nyama katika jimbo la Ghuba kwa mwezi mzima wa michuano hiyo.
[...]
Njaa yawatesa waliokataa kuhama Ngorongoro
Ukame na njaa inayoendelea kuutikisa Mkoa wa Arusha na baadhi ya maeneo nchi umewafanya wananchi waliokataa kuhama kwa hiyari kutoka Bonde la Ngorongo [...]