Author: Cynthia Chacha

1 64 65 66 67 68 273 660 / 2725 POSTS
MAHAKAMA : Mamlalamiko ya bandari hayana mashiko

MAHAKAMA : Mamlalamiko ya bandari hayana mashiko

Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na f [...]
Bei ya mafuta Zanzibar yapaa kwa 10%

Bei ya mafuta Zanzibar yapaa kwa 10%

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Majina Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza ongezeko la bei ya mafuta ya petroli kwa asilimia 10 visiwani Zanzibar kuto [...]
Abu Dhabi kuikopesha Tanzania mkopo wa bilioni 69.9 ujenzi wa njia ya kusafirishia umeme

Abu Dhabi kuikopesha Tanzania mkopo wa bilioni 69.9 ujenzi wa njia ya kusafirishia umeme

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), na Mwenyeji wake, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu (Abu [...]
Tumieni maziwa kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji

Tumieni maziwa kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji

Rais Samia Suluhu Hassan ameziagiza wizara zinazohusika na kilimo na uvivu kufanya mchakato wa kuvuta maji kutoka kwenye maziwa yaliyopo nchini ili ya [...]
Serikali yatoa msamaha wa kodi matrekta kutoka nje

Serikali yatoa msamaha wa kodi matrekta kutoka nje

Sekta ya kilimo nchini imepata misamaha ya kodi katika eneo la kuagiza matrekta nje ya nchi lengo likiwa ni kusaidia kilimo nchini. Ofisa kutoka Ma [...]
Tanzania yashika nafasi ya pili utalii Afrika

Tanzania yashika nafasi ya pili utalii Afrika

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk Hassan Abbas, amesema Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupata watalii wengi zaidi Afrika kwa robo [...]
Mradi wa Kawe Beach mbioni kuanza baada ya kusitishwa kwa miaka 7

Mradi wa Kawe Beach mbioni kuanza baada ya kusitishwa kwa miaka 7

Mradi mkubwa wa mali isiyohamishika maarufu kama Seven-Eleven (711) ulioko katika eneo la Mbezi Beach/Kawe roundabout jijini Dar es Salaam unatarajiwa [...]
IMF yaipongeza Tanzania kwa utulivu wa kiuchumi

IMF yaipongeza Tanzania kwa utulivu wa kiuchumi

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Bo Li, ameipongeza Tanzania kuwa na utulivu wa kiuchumi wakati ambao kimataifa mazingira [...]
Onyo kwa wanasiasa wanaotumia matusi kwenye mikutano

Onyo kwa wanasiasa wanaotumia matusi kwenye mikutano

Viongozi wa vyama vya siasa nchini wamekemea tabia ya baadhi ya wanasiasa wenzao wanaotumia vibaya nafasi ya kufanya mikutano ya hadhara ya vyama vya [...]
Mradi wa Sh270 bilioni watua wanakijiji ndoo

Mradi wa Sh270 bilioni watua wanakijiji ndoo

Zaidi ya wakazi 10, 000 wa Kijiji cha Bugayambelele Kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga, wameondokana na adha ya kukosa huduma ya maji baada ya mrad [...]
1 64 65 66 67 68 273 660 / 2725 POSTS
error: Content is protected !!