Author: Cynthia Chacha
Kuna nini WhatsApp ?
Mtandao wa WhatsApp umeonekana kukabiliwa na hitilafu baada ya baadhi ya watumiaji kuripoti matatizo ya kushindwa kutuma na kupokea jumbe mbalimbali k [...]
Magazeti ya leo Oktoba 25,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Oktoba 25,2022.
[...]
Ubalozi wa Marekani kutoa tiketi za bure kuangalia uzinduzi wa Black Panther II
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa taarifa kwamba utatoa tiketi za bure kuhudhuria uzinduzi wa filamu ya "Black Panther" utakaofanyika Century [...]
Tanzania, DRC kuinua uchumi kwa pamoja
Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimekubaliana kushirikiana kujenga miundombinu ya reli ya kisasa na barabara ili kuimarisha biashar [...]
Waziri Mkuu aenda Korea Kusini ziara ya siku tatu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini kwenda Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu [...]
Magazeti ya leo oktoba 24,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Oktoba 24,2022.
[...]
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi kama ifuatavyo:-
[...]
Moto Mlima Kilimanjaro
Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana, umezuka katika mlima Kilimanjaro, karibu na eneo la Karanga Camp lililopo urefu wa meta 3,963 kutoka [...]
Magazeti ya leo Oktoba 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 22,2022.
[...]
Nelson Mandela kufundisha kwa njia ya masafa
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Saynasi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Profesa Emmanuel Luoga amesema taasisi hiyo imejipanga kuja na mfumo wa u [...]