Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Oktoba 14,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Oktoba 14,2022.
[...]
OKTOBA 13 : No Bra Day
OKTOBA 13 kila mwaka ni siku maalum ya kupaza sauti na kufanya watu watambuE kwamba saratani ya matiti ipo na hivyo ni muhimu wanawake wakajijengea ut [...]
Rais Samia anavyomuenzi Mwalimu Nyerere
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kumuenzi baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Serikali itaendeleza mapambano dhidi ya ujinga, maradhi [...]
Wanyama kufungwa redio
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana, leo Oktoba 13, 2022, amezindua ufungaji wa redio za mawasiliano kwa wanyamapori katika Hifadhi ya Taifa [...]
Jeshi la Polisi kinara vitendo vya Rushwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imezitaja sekta zinazoongoza kwa vitendo vya rushwa nchini huku Jeshi la Polisi likishika nafasi y [...]
Magazeti ya leo Oktoba 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 13,2022.
[...]
Waziri Makamba asisitiza matumizi ya nishati safi kwa maendeleo
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema tarehe 1 na 2 mwezi Novemba mwaka huu kutakuwa na Kongamano la Kuongeza Matumizi ya Nishati Safi na Sa [...]
Fahamu kompyuta 5 bora za kununua
Katika ulimwengu wa sasa wa sayansi na teknolojia matumizi ya kompyuta mpakato katika shughuli za masomo, biashara au kiofisi yameongezeka kwa kiasi k [...]
Benki ya Dunia yaitengea Tanzania trilioni 5
Benki ya Dunia imeshukuriwa kwa kuitengea Tanzania dola za Marekani bilioni 2.1 sawa na shilingi trilioni 4.9 katika mzunguko wa 20 wa IDA (Julai 2022 [...]
Magazeti ya leo Oktoba 12,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Oktoba 12,2022.
[...]