Author: Cynthia Chacha
Mikataba ya Serikali kusainiwa Ofisi ya AG
Rais Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku Taasisi za serikali kuingia mikataba bila kushirikisha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Rais Samia [...]
Tanzania na Falme za Kiarabu zasaini mkataba kuondoa utozaji kodi mara mbili
Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesaini makubaliano ya kuondoa utozaji kodi mara mbili, wadau wametoa maoni tofauti kuhusu faida na hasa [...]
Kapu la Mama latema bil.160 ujenzi wa madarasa 8,000
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 8,000 vitakavyoweza kupokea wanafun [...]
Magazeti ya leo Septemba 29,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Septemba 29,2022.
[...]
Bilioni 700 kuwafikishia umeme walio nje ya gridi ya Taifa
Huenda idadi ya Watanzania wanaotumia umeme ya gridi ya Taifa ikaongezeka siku za hivi karibuni baada ya Benki ya Dunia kutoa ufadhili kwa ajili kupel [...]
Historia yaandikwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mtwara
Huduma za kibingwa za Taasisi ya tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) zimeanza kutolewa katika hospitali mpya na ya kisasa ya rufaa ya kanda kusini Mtwara a [...]
Masharti 7 ya Samia Scholarship
Serikali imetangaza masharti saba kwa wanafunzi watakaoomba kunufaika na ufadhili (Samia Scholarship), ikiwemo kuhakikisha kuwa kiwango cha ufaulu hak [...]
Bashungwa asimamisha kazi watano Manyara
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi Maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha [...]
Bye Bye Dejan ‘Mzungu’
Mchezaji wa kigeni kwenye klabu ya Simba, Dejan Georgijevic amethibitisha kuvunjika kwa mkataba kati yake na klabu hiyo ya wekundu wa msimbazi taarifa [...]
Magazeti ya leo Septemba 28,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Septemba 28,2022.
[...]