Author: Elibariki Kyaro
Rais Samia aieleza Benki ya Dunia malengo makuu 3 ya serikali yake
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Hafez Ghanem, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Katik [...]
Rais Samia: Mwanamke ana haki sawa kama mwanaume
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imedhamiria kwa dhati kuwainua Wanawake kijamii, kiuchumi, kisiasa pamoja na kupambana na ukatili dhidi yao [...]
Uwekezaji wa bilioni 462 utakavyotoa ajira 7,000
Kampuni ya Smart Holding kutoka Israel imetangaza mpango ya kuingiza dola milioni 200 (shilingi bilioni 462) katika sekta ya viwanda vya kilimo nchini [...]
Fahamu haya kabla ya kununua hisa kwenye kampuni
Kutokana na kukua kwa mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji, suala la uuzaji hisa katika makampuni limekuwa likifanywa na makampuni mengi hapa T [...]
Watoto wafanyiwa majaribio ya chanjo ya UVIKO-19
Wakati mataifa yote duniani yanaendelea na mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO 19) kwa kuhakikisha watu wanaendelea kupatiwa chanjo [...]
Dkt. Gwajima atoa maagizo mazito MSD, NHIF
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amewataka watendaji wanaohusika na mnyororo wa ugavi wa dawa na vif [...]
Jumuiya ya Afrika Mashariki yaunga mkono kauli ya Rais Samia Umoja wa Mataifa
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeunga mkono kauli ya Rais Samia Suluhu aliyotoa wakati akihutubia Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa [...]
Mwanamuziki R. Kelly akutwa na hatia
Msanii gwiji wa miondoko ya RnB, Robert Kelly, maarufu R. Kelly amekutwa na hatia ya makosa ya ukatishaji fedha, kujipatia fedha kwa nguvu pamoja na k [...]
Aliyosema Rais Samia kuhusu utendaji kazi wa marehemu Ole Nasha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza kupokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi [...]