Author: Mjumbe
Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 12, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ; [...]
Nchi maskini deni limeongezeka maradufu – Ripoti ya Benki ya Dunia
Ripoti ya takwimu za madeni ya mwaka 2022 inayotolewa na Benki ya Dunia inaeleza kuwa madeni ya nchi za kipato cha chini yameongezeka kwa asilimia 12 [...]
Mtanzania Abby Chams kwenye show kubwa ya ‘Kelly Clarkson
Kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani binti wa Kitanzania Abby Chams ambaye ni mwanamuziki amepata nafasi ya kuwakilisha Wasichana wa Ta [...]
IGP Sirro ahamisha Makamanda wa mikoa watatu
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi imeeleza kuwa Mkuu wa Jeshi hilo nchini, IGP Simon Sirro tarehe 4/10/2021 alifanya mabadiliko ya Makamanda watatu kwa [...]
Waumini wamkataa Mchungaji aliyeiba Mke wa Mzee wa Kanisa
Mchungaji wa Ushirika mmoja wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri mkoani Morogoro analalamikiwa kwa tuhuma za kuchukua mke wa aliyekuwa Mzee wa Kanisa hi [...]
TCU yaongeza muda wa udahili
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Charles Kihampa ameeleza kuwa nyongeza ya muda wa udahili kuanzia Ijumaa hii imekuja baada ya [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 12 (Lacazette mbioni kuachana na Arsenal, huku safari ya Hazard kurudi Chelsea imepamba moto)
Klabu ya Liverpool inamfuatilia kwa karibu winga wa Barcelona Ousmane Dembele, 24. Mkataba wa mchezaji huyo wa unamalizika mwisho wa msimu huu (Mundo [...]
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 12, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumanne, Oktoba 12, 2021
[...]
TikTok kuanza kutumika kwenye “Smart TV”
Mtandao wa TikTok ambao umekuwa jukwaa la elimu na burudani unaingia katika vitabu vya historia kati ya mitandao ya kijamii yenye ‘app’ ya moja kwa mo [...]
Wilder apasuka mdomo, avunjika Mkono na Kidole
Imeelezwa kuwa, Deontay Wilder, Bondia Mmarekani aliyechezea kichapo katika ardhi ya nyumbani nchini Marekani toka kwa Bondia toka Uingereza Tyson Fur [...]