Author: Mjumbe

1 26 27 28 29 30 46 280 / 452 POSTS
Anza Wikiendi yako na filamu hii ya ‘MIMI’

Anza Wikiendi yako na filamu hii ya ‘MIMI’

Katika filamu hii, mhusika (Mimi) anaigiza kama binti maskini mwenye ndoto za kuwa mwigizaji mkubwa lakini ndoto hizo zinakatishwa baada ya wanandoa w [...]
Fahamu sifa za ndege ya Airbus A220-300

Fahamu sifa za ndege ya Airbus A220-300

Kwa mujibu wa tovuti ya Airbus, Tanzania ndio nchi ya kwanza barani Afrika na ya tano duniani kumiliki ndege ya aina ya Airbus A220-300. Ukiachilia nd [...]
Njia 5 za kumaliza kabisa madeni yako

Njia 5 za kumaliza kabisa madeni yako

Madeni yanaweza kukusababishia msongo wa mawazo na kukosa amani, hivyo ni muhimu kujua jinsi gani ya kupunguza madeni uliyonayo. Tengeneza pesa Z [...]
Elimu ya biashara: Umuhimu wa matumizi sahihi ya muda katika kukuza biashara

Elimu ya biashara: Umuhimu wa matumizi sahihi ya muda katika kukuza biashara

Matumizi sahihi ya muda ni mojawapo ya stadi muhimu zaidi unayopaswa kuwa nayo katika ukuzaji wa biashara. Changamoto ni kwamba mara nyingi hili ni ja [...]
Ijue nyota yako leo Oktoba 08, 2021

Ijue nyota yako leo Oktoba 08, 2021

NDOO (Jan 21 – Febr 19): Ifanye siku ya leo kuwa ni muhimu kwako pamoja na waliokuzunguka. Andaa mipango ya kuwa karibu na wapenzi wako. Kutoa zawadi [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 08 (Lampard na Gerrad kuchukua mikoba ya Bruce kunako Newcastle, Asensio kujiunga na Liverpool)

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 08 (Lampard na Gerrad kuchukua mikoba ya Bruce kunako Newcastle, Asensio kujiunga na Liverpool)

Wamiliki wapya wa Newcastle wanalenga kuifanya klabu yao iwe kubwa kama Manchester City na Paris St-Germain kiushindani (Times). Kocha wa zamani wa [...]
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 08, 2021

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 08, 2021

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Ijumaa, Oktoba 08, 2021. [...]
Majibu ya Mbwana Samatta baada ya Taifa Stars kufungwa

Majibu ya Mbwana Samatta baada ya Taifa Stars kufungwa

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta amesema kuwa wapinzani wao timu ya Taifa Benin, walikuwa vizuri kwenye ulinzi ndio [...]
Mambo 6 muhimu unayopaswa kufahamu wakati unaanza chuo

Mambo 6 muhimu unayopaswa kufahamu wakati unaanza chuo

  Kutokana na furaha ya kufaulu na kwenda kusoma sehemu ambayo inakupa uhuru zaidi kwenye usomaji wako wanafunzi wengi wanakuwa na mitazamo tofauti [...]
Miaka 90 ya Desmundu Tutu na kumbukizi ya Sera ya Kibaguzi Afrika Kusini

Miaka 90 ya Desmundu Tutu na kumbukizi ya Sera ya Kibaguzi Afrika Kusini

Askofu Desmond Mpilo Tutu alizaliwa Oktoba, 7 1931 katika mji wa Klerksdorp Afrika Kusini. Wazazi wake walitoka makabila ya Xhosa na Tswana na akiwa m [...]
1 26 27 28 29 30 46 280 / 452 POSTS
error: Content is protected !!