Author: Thani Chikira
Mabasi 41 yafungiwa kusafirisha abiria mikoani
Jana Novemba 8, magari 41 yalizuiliwa kusafirisha abiria kutokana na hitilafu zilizobainika katika magari hayo kufuatia ukaguzi uliofanyika kwa takrib [...]
Mwenyekiti wa Kitongoji aua mkewe na kujinyonga
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Urua chini kijiji cha Mfuruashe wilayani Rombo, Augustine Moshi mwenye umri wa miaka 35 amemuua mkewe Anastazia Augustin [...]
Uteuzi kutoka Chama cha Mapinduzi
Chama cha Mapinduzi CCM kimefanya uteuzi wa Makatibu wa Mikoa na Wilaya wa Chama hicho leo tarehe 08 Novemba 2021. Taarifa iliyotolewa na CCM imeeleza [...]
Shusho afunguka kashfa ya kunywa pombe
Mwanamuziki wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania Christina Shusho, ameweka wazi kuhusu video inayomuonyesha akiwa anakunywa kinywaji kinachodhan [...]
Travis Scott afunguliwa kesi ya mauwaji
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Travis Scott amefunguliwa kesi ya kuchochea ghasia kwenye tamasha lake ambalo limesababisha vifo vya watu nane na m [...]
TANROADS yamwaga Ajira
Job Overview
Ref. No. AB.322/267/01/02
The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Agency under the Ministry of Works and Transport whic [...]
Pesa za ujenzi zaanza kuwa za moto, Afisa manunuzi atumbuliwa
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema amemsimamisha kazi kwa kipindi cha miezi miwili Afisa manunuzi wa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga anaejulik [...]
Mwanafunzi bora kitaifa darasa la saba kupewa ufadhili wa masomo
Aliyeibuka kuwa Mwanafunzi bora kitaifa kwenye matokeo ya darasa la saba, Eluleki Haule ambaye alisoma shule ya St Anne Marie Academy ameahidiwa kuso [...]
Watoto wa Ibilisi 117 wanaswa Tanga
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Sophia Jongo amesema Jeshi la Polisi mkoani Tanga limewakamata watoto 117 wanaojiita watoto wa ibilisi wanaotuhumiwa k [...]
Watoto Ibilisi 117 wanaswa Tanga
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Sophia Jongo amesema Jeshi la Polisi mkoani Tanga limewakamata watoto 117 wanaojiita watoto wa ibilisi wanaotuhumiwa k [...]