Category: Burudani
Tazama hapa video zilizo-trend Youtube Machi 11,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 11, 2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=njxSVi [...]
Shilole: Nitamtia Nuh makofi
Msanii wa BongoFleva Shilole ametambulisha rasmi wimbo wake mpya wa Mama Ntilie unaendelea kufanya vizuri katika mitandao mbalimbali tangu siku ya kua [...]
Diamond amuwaza Kiba
Hatimaye msanii Diamond ameachia EP yake usiku wa jana ikiwa na takribani nyimbo 10 alizoshirikisha wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kama Mb [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Machi 9,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 9,2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=BRsoOKdm [...]
Wema amuumbua Mange
Muigizaji Wema Sepetu ameamua kumtolea uvivu mwanadada anyefahamika kama Dada wa taifa, Mange Kimambi kwa kumtaka aache tabia yakuandika taarifa ambaz [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Machi 8, 2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 8, 2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=BRsoOKd [...]
Diamond aachia #FOA
Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platnumz ametoa kirefu cha jina la EP yake 'FOA' kwamba ni 'First Of All' kupitia ukurasa wake wa instagr [...]
Miriam Odemba aziwaza tuzo za BASATA
Mwanamitindo maarufu nchini, Miriam Odemba amejiunga rasmi na tasnia ya muziki ambapo katika siku ya kusherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa akitimiza m [...]
Hamisa Mobetto na BlacChyna ndani ya mchongo mmoja
Mjasiriamali kutoka nchini Tanzania , Hamisa Mobetto ameweka wazi kwamba kuanzia sasa yeye ni balozi wa bidhaa za vipodozi vya whitenicious kutoka kam [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Machi 1, 2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 1, 2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=BRsoOKd [...]