Category: Burudani
Watu maarufu walionunua magari 2021
Mwaka 2021 umekuwa na changamoto kwa wengi ikiwa ni pamoja na janga la Covid- 19, biashara nyingi zilikwama na nyingine kuwa vilema hali iliyofanya ma [...]
Ed Sheeran kufanya remix ya ‘Peru’ na Fireboy DML
Nyota wa muziki kutoka Uingereza, mtunzi wa nyimbo na mwimbaji pamoja na mshindi wa Grammy, Ed Sheeran ameweka wazi nia yake ya kufanya kazi na nyota [...]
Mrembo kutoka Kenya atoa hisia zake baada ya Diamond kuzindua WasafiBet
Siku ya tarehe 10 Disemba 2021 katika viunga vya Mlimani City msanii Diamond Platnumz alizundua kampuni yake mpya ya WasafiBet. Punde tu baada ya uzin [...]
Ali Kiba: Harmonize sio rafiki yangu, sijui dini ya Diamond
Nyota kutoka nchini Tanzania , Ali Kiba amewasili Kenya kwa ajili ya tamasha lake la ‘Only One King’ litakalofanyika Naivasha na kuzungumza na waandis [...]
Willy Paul na Diana Marua wawashiana moto Kenya
Msanii kutoka Kenya, Willy Paul ambaye miaka ya nyuma aliwahi kutamba na wimbo wake wa ‘Jigi Jigi’, ametupiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na mr [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Desemba 9, 2021
Hizi hapa video zinazopeta katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Alhamisi Desemba 9, 2021. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=8cW [...]
Ini Edo awajia juu wanaohoji kuhusu mtoto wake
Mwigizaji wa Nollywood, Ini Edo amejibu watu wanaosema kwamba mtoto wake amempata kwa bahati kutoka kwa mfadhili aliyetoa mbegu zake na kuunganisha na [...]
Kufuru, utajiri wa Diamond Platnumz 2021
Diamond Platnumz, msanii machachari kutoka Tanzania, muazilishi, mmiliki na mkurugenzi wa kampuni inayojishughulisha na maudhui ya muziki ya WCB. Diam [...]
Diamond achambua miaka 60 ya Uhuru na Mawaziri
Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameshiriki katika mjadala wa miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Tulipotoka, tuli [...]
Biashara ya muziki haina faida bila ‘Beefs’, kwanini?
Neno 'Beef' ni neno la mtaani au neno ambalo sio rasmi kwenye lugha ya Kingereza lenye maana ya kuonesha/kuwa chuki au kutokupenda kitu kitu fulani. K [...]