Category: Burudani
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Novemba 22, 2021
Hizi hapa video zinazopeta katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=3GHmlVDSRPA&list=PLqYgCZl9ey [...]
Aunty Ezekiel amkaanga Ruby
Mwigizaji wa filamu kutoka nchini Tanzania, Aunty Ezekiel ambaye pia ni mke wa msanii Kusah, amesema kwamba aliyewahi kuwa mchumba wa mume w [...]
Dj Sinyorita aibeba Tanzania AFRIMA 2021
DJ Sinyorita kutoka nchini Tanzania ameibuka kidedea kwenye tuzo za AFRIMA 2021 usiku wa jana baada ya kushinda kipengele cha DJ bora Afrika kwa mwaka [...]
Wizkid amnyoosha tena Diamond Platnumz
Nyota wa muziki kutokea nchini Nigeria, Wizkid '#BigWiz' ameshinda tuzo tatu(3) za AFRIMA 2021 zilizotolewa usiku wa kuamkia leo Nov. 22 2021 katika v [...]
Picha 5 za mastaa wakike Tanzania zilizobamba zaidi wiki hii
1.Jokate Mwegelo
2.Hamisa Mobeto
3. Gigy Money
4. Zuchu
5. Elizabeth Michael (Lulu)
[...]
Diamond afanya kufuru harusi ya Aristotee
Msanii Diamond Platnumz na mmiliki wa lebo ya Wasafi ameonyesha jeuri ya pesa kwenye harusi ya mfanyabiashara Aristotee usiku wa jana kwa kumpatia zaw [...]
Harmonize atimiza moja ya ndoto zake kubwa
Msanii kutoka lebo ya Konde gang Harmonize ameweka wazi kuingia studio na mkongwe wa muziki nchi Tanzania , 20% kutokana na ahadi aliyoweka Oktoba 25, [...]
Gigy awatolea uvivu Clouds
Msanii wa kike wa bongo fleva kutoka nchini Tanzania Gift Stanford maarufu kama Gigy Money amewashukia kituo cha televisheni cha Clouds kwenye ukurasa [...]
Kumbe Zuchu anachukua 25%.
Mwigizaji na Mtangazai wa Clouds Fm, Mwijaku amesema kwamba msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ni tapeli.
“Nimesikia kuna wasanii wanatoka mikoan [...]