Category: Elimu
Rangi 5 zakuvutia kwa wanawake
Umewahi kusikia au kuambiwa na mtu kwamba, "Rangi fulani inakupendeza zaidi?", au "Rangi fulani inaonekana nzuri zaidi kwa mtu fulani na si mtu fulani [...]
Njia 6 rahisi za Kuzuia Maumivu ya Tumbo kipindi cha Hedhi.
Hedhi kwa wasichana au wanawake inaweza kuja na maumivu makali sana. Maumivu hayo mara nyingi hutokea chini ya kitovu na humfanya mtu au mwanamke ashi [...]
Nchi zenye nyimbo za taifa zinazofanana
“Lord Bless Africa” yani “Mungu ibariki Afrika” ni wimbo ulioandikwa na Enoch Sontonga, mchungaji wa Xhosa nchini Afrika Kusini mwaka 1897 ambapo yeye [...]
Faida za kiafya za kunywa maji ya vuguvugu
Maji ni uhai. Umuhimu wa maji kwa afya ya mwanadamu hauwezi kusisitizwa kupita kiasi.Maji ya vuguvugu, haisa [...]
Mambo matano ya kufanya J’Pili uifurahie J’tatu yako
Kuna hisia fulani nzuri hutujui siku ya Ijumaa, na kubwa hapa sio siku husika, bali ni wikiendi iliyo mbele yetu. Lakini kwa upande mwingine hali huwa [...]
Lugha 5 za mapenzi wanazopenda wanawake zaidi
Miezi ya mwanzoni katika mahusiano huwaga ya furaha na mara nyingi ni ngumu sana kuona makosa ya mwenzi wako, Lakini mnapokaa muda mrefu kwenye mahusi [...]
Mambo muhimu yakuzingatia kabla, baada ya kununua kondomu
Baadhi ya vijana hujiweka katika hatari ya kupata maambukizi ya magonjwa yanayo ambukizika kwa kujamiiana bila kutumia kinga kwa sababu manunuzi ya ko [...]
Utafiti: Sababu Afrika kuwa na vifo vichache vya UVIKO-19 licha ya kuchanja chini ya 6% bara zima
Sababu kama Afrika kutokuwa na majiji makubwa yaliyo bize, sababu za vinasaba (genetic) na historia ya kukumbwa na magonjwa makubwa mara kwa mara kama [...]
Fahamu kirusi kipya cha Corona aina ya Omicron
Kwanza kabisa tambua kwamba kirusi hicho hakizalishwi maabara kama watu wengi wanavyozusha kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. Ukweli ni kwamba huu [...]
Dawa unazoweza kutumia nyumbani kutibu mafua na kifua
Kutokana na hali ya baridi watu wengi wanasumbuliwa na mafua, mafua ambayo yanaambatana na maumivu ya mwili, kuhisi baridi, homa, kuhisi mwili mzito p [...]