Category: Elimu
Ujinga sasa basi, DAR ES SALAAM sio ‘Bandari Salama’, hii ndio maana yake.
Walio wengi wanatambua kuwa ‘Dar Es Salaam’ ni neno la lugha ya kiarabu likimaanisha ‘Bandari Salama’ huu ni upotofu uliodumu kwa muda mrefu san [...]
Faida (5) za kuwa katika mahusiano na mwanaume mfupi
Linapokuja suala la mahusiano, wanaume wenye kimo cha kiasi fulani hupata mtihani kidogo katika kuanzisha mahusiano. Baadhi ya wanawake huona wanaume [...]
Tumia asali na maziwa kuondoa sugu
Sugu ni weusi ambao unatengeneza ugumu mara nyingi unatokea katika vifundo au maungio mfano kwenye magoti, nyuma ya vidole vya mikono na nyuma ya kiwi [...]
Fanya haya kupunguza gharama za matumizi ya maji nyumbani
Mjadala mkubwa kwa sasa jiji Dar es Salaam ni uhaba wa maji unaopelekea mgao kwenye maeneo mengi.
Tatizo la uhaba wa maji linaweza kutokea mara nyi [...]
Njia 6 za kukabiliana na majanga ya moto
Hivi karibuni kumekuwa na majanga mengi ya moto ambayo husababisha uharibifu wa mali na kugharimu maisha ya watu, kutokana na miundombinu duni ya maje [...]
Namna 5 za kudumisha penzi la mbali
Mahusiano ya mbali yanaweza kuwa magumu kwa baadhi ya watu, wengi wameishia kulia kutoka na mahusiano ya namna hii. Lakini japo ya changamoto zake, zi [...]
Mambo sita (6) ya kuzingatia kabla ya kusaini mkataba
Mkataba aua kandarasi ni makubaliano wanayoingia watu au taasisi katika kuongoza mahusiano au ushirika wao kweye jambo fulani. Kwa kusaini mkataba, un [...]
Dk. Janabi: Ugonjwa wa presha unapunguza nguvu za kiume
Mkurugenzi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohammed Janabi amesema ni kweli kwamba dawa za presha zinapunguza nguvu za kiume lakini ugo [...]
Madhara unayoweza kupata kwa kuoga maji ya moto
Kuna raha ya kuoga maji ya moto , hasa ukiyapata usiku au mchana baada ya kazi ngumu na mihangaiko chini ya jua kali. Lakini je, ni kwa kiasi gani ngo [...]
10 kubwa kuhusu Rashid Mfaume Kawawa (May 27, 1926 – December 31, 2009)
1. Kawawa alikutana na Nyerere wakiwa wanafunzi Shule ya Tabora Boys.
2. Kawawa alimgomea baba yake mzazi kuendelea na masomo Chuo Kikuu [...]