Category: Elimu
Jifunze njia 5 za asili za kujikinga na Malaria
Kwa mujibu ripoti ya WHO mwaka 2019, kulikuwa na visa milioni 229 vya Malaria duniani kote. Katika mwaka huo, watu 409,000 walikufa kwa ugonjwa huo ha [...]
Jifunze njia 5 rahisi za kung’arisha meno yako bila kuingia gharama
Walio wengi wanatamani kuwa na meno meupe yanayong’aa, mara nyingi tunajitahidi kupiga mswaki lakini unakuta bado meno hayang’ai kama vile tunavyotara [...]
Tafahadhari: Jifunze namna ya kujilinda na nyoka wakati huu wa joto kali
Hali ya joto kali haijawahi kuwa rafiki kwa nyoka. Wakati wa joto kali nyoka huangaika kutafuta maeneo yenye kivuli wasipoteze maisha. Upo uwezekano m [...]
Fanya mambo haya kila Jumatatu asubuhi ili uwe na mafanikio
Usingizi wa Jumatatu asubuhi unaweza kukupa ugumu sana kukiacha kitanda chako na kwenda kwenye majukumu yako. Ndio maana sio ajabu kusikia watu wengi [...]
Taasisi za elimu ya juu 10 bora Duniani, 2021
Wanataaluma 11,000 duniani kote wamepiga kura kutaja taasisi za elimu ya juu (vyuo vikuu) bora zaidi duniani. Taifa la China limeshuhudiwa kwa mara ya [...]
Jifunze namna bora za kuzuia na kutibu chunusi
Chunusi ni uvimbe mdogo au kipele kidogo kwenye ngozi ambacho husababishwa na kuganda na mlundikano wa mafuta. Chunusi hutokea katika umri wowote ule, [...]
Usithubutu kufanya mambo haya 5 ‘wikiendi’ hii.
Tangu wiki inapoanza, akili za wanadamu wengi huwaza zaidi mwisho wa wiki ili waweze kupumzika na kupata wasaa mzuri wa kufurahi na ndugu, jamaa na ma [...]
Fanya mambo haya matano (5) ukiwa katika wakati mgumu
1. Shukuru
Kitu cha kwanza kukifanya ukiwa uko kwenye hali ya sitofahamu ni wewe kumshukuru Mungu kwasababu ya hilo gumu. Mshukuru Mungu kwasababu un [...]
Mambo manne (4) ya kufanya kama hupati choo
1.Kunywa maji yakutosha
Unywaji wa maji mara kwa mara unapunguza uwezekano wa kupata tatizo la kushindwa kupata haja kubwa. Endapo umepata tatizo hil [...]
Zingatia haya kabla hujanunua ‘Fast Foods’
kwa vijana wengi kupika ni mtihani mkubwa kwao muda, muda unaotumika kupika unaweza kutumika kufanya mambo mengine, hivyo mtu huamua kununua chakula c [...]