Category: Elimu

1 23 24 25 26 27 36 250 / 357 POSTS
Fahamu mambo 3 ya kuzingatia kabla hujavaa viatu

Fahamu mambo 3 ya kuzingatia kabla hujavaa viatu

Urembo siyo hali ya kuwa na mvuto pekee bali urembo unajumuisha pamoja na kuendana na vitu vyote unavyovaa. Inapaswa nguo ikae mahala pake, nywele ziw [...]
Fahamu sababu 8 zinazosababisha watu wasikupende

Fahamu sababu 8 zinazosababisha watu wasikupende

Kuishi katika jamii inayokupenda hukufanya kuwa mwenye furaha na ufanisi katika yale unayoyafanya. Wapo baadhi ya watu wanatambua kuwa hawapendwi, lak [...]
Njia rahisi ya kupika chapati laini za kusukuma

Njia rahisi ya kupika chapati laini za kusukuma

Chapati ni aina ya mkate ambao hauumuliwi kwa hamira. Chapati hutayarishwa kwa unga wa ngano na inahitaji umakini wakati wa kupika ili zisiwe ngumu na [...]
Faida  5 za kutoa Ushuzi

Faida 5 za kutoa Ushuzi

Watu wengi wamekua waoga sana kutoa ushuzi wakidhani kwamba wanakosea hivyo wanaamua kubana hewa hiyo chafu ndani yao bila kujua kwamba kiafya ni vyem [...]
Jinsi ya kupata madini ya Almasi kutoka kwenye maiti

Jinsi ya kupata madini ya Almasi kutoka kwenye maiti

Barani Afrika na maeneo mengine duniani utamaduni wa kuzika mtu anapofariki ni utamaduni wa miaka mingi na ndio utamaduni watu waliuzoea. Lakini kasi [...]
Mambo 5 ya kuepuka kufanya kwa ajili ya Mwanamke

Mambo 5 ya kuepuka kufanya kwa ajili ya Mwanamke

Kwa kuzingatia historia, mila, tamaduni na desturi, imezoeleka kuwa mara nyingi ni wajibu wa Mwanaume kuonesha upendo kwa mpenzi wake na kujitoa kwa h [...]
Madhara ya kutumia simu bila kunawa mikono

Madhara ya kutumia simu bila kunawa mikono

Mfamasia Erick Venant amesema simu za mkononi zimetajwa kuwa ni hatari katika kusambaza na kuhifadhi vijidudu vya magonjwa ya kuambukiza kama zitashik [...]
Je? ‘Love Bite’ inaweza kukuua?

Je? ‘Love Bite’ inaweza kukuua?

Julio Macias Gonzalez, umri miaka 17, alifariki Dunia kwa kiharusi (Stroke) baada ya kupigwa busu la shingo kwa mtindo wa kunyonywa (Love Bite) na mpe [...]
Leo katika historia: Redio ya BBC iliasisiwa rasmi

Leo katika historia: Redio ya BBC iliasisiwa rasmi

Tarehe kama ya leo mwaka 1922, Redio ya BBC iliasisiwa huko England. Redio ya BBC awali ilikuwa ya mtu binafasi, lakini mwaka 1927 redio iliwekwa chin [...]
Ijue Siri ya wanawake wa Kusini mwa Afrika kuwa maumbo namba 8

Ijue Siri ya wanawake wa Kusini mwa Afrika kuwa maumbo namba 8

Wanawake wa nchi za Kusini mwa Bara la Afrika maumbile yao ni tofauti na wanawake wa nchi nyingine. Wanawake kutoka nchi kama Botswana, Namibia, Swazi [...]
1 23 24 25 26 27 36 250 / 357 POSTS
error: Content is protected !!