Category: Elimu
Leo katika historia: Beijing inachaguliwa kuwa Mji Mkuu wa China
Mwaka 1962: Marekani iliiuzia Israel makombora ya kivita ya kutungulia ndege. Marekani ndiyo nchi yenye nguvu kubwa kijeshi duniani na imekuwa na ushi [...]
Majengo marefu Zaidi Afrika
Historia ya majengo marefu barani Afrika ilianza mwaka 1973 baada ya ujenzi wa jumba refu la Carlton Centers jijini Johannesburg, Afrika Kusini ambalo [...]
HATARI, Kutembea peku kwenye tiles si salama
Mazingira tunamoishi yanaweza kuwa na hatari nyingi zinazotuzunguka pasi nasi kujua. Yapo madhara ambayo tunapata kutokana na tabia zetu au mazoea na [...]
Leo katika historia: Mali za Osama bin Laden zinataifishwa
Mwaka 1954 uwanja wa mpira wa miguu wa Camp Nou unaochukua mashabiki 99,000 ulifunguliwa jijini Barcelona huko Hispania. Ndio uwanja mkubwa zaidi Ulay [...]
Sababu 5 za watu kutazama filamu za ngono
Tabia ya kupenda kutazama filamu za ngono ni uraibu kama ulivyo uraibu mwingine. Yamkini wengi hawafahamu kama filamu hizi zina madhara kiafya hata ka [...]
Leo katika historia: Daktari bingwa wa magonjwa ya akili anafariki dunia
Tarehe kama ya leo mwaka 1908: Chuo Kikuu cha Alberta kilianzishwa nchini Canada. Chuo hicho kilianzishwa na Alexander Rutherford na Henry Marshall To [...]
Njia 6 za Uhakika za kuacha Punyeto/Nyeto/Puchu
Punyeto/Nyeto/Kujichua ni mojawapo ya njia ambayo mtu hutumia kukidhi mahitaji yake ya kimwili, hasa hitaji la kujamiiana. Njia hii huweza kumpunguzia [...]
Maajabu: Ujio wa Mbu vipofu, wasioona binadamu
Kwa miaka mingi sasa binadamu amekuwa akiishi katika ugomvi mkubwa na Mbu. Kuishi na Mbu imekuwa ni tatizo kubwa sana kutokana na uwezo wa Mbu kuweza [...]
Leo katika historia: Hitler na Churchill waingia kwenye mgogoro
1. Tarehe kama ya leo mwaka 1934 kimbunga kikali kilikumba Kisiwa cha Honshu, nchini Japan na kuua zaidi ya watu 4,000. Japan inaongoza kwa kukumbwa n [...]
Soma hapa PGO ya Jeshi la Polisi Tanzania
Jeshi la Polisi linaongozwa na kanuni (Police General Order) ambazo zinatoa mwongozo katika utendaji wao wa kila siku. Majadala mkubwa kuhusu PGO umei [...]