Category: Elimu
Mambo 10 muhimu ya kufanya asubuhi siku yako iwe nzuri
Asubuhi ni sehemu muhimu sana ya siku, kwani huamua ni namna gani siku yako itakavyokwenda. Umewahi kusikia watu wakisema, "ameniharibia asubuhi yangu [...]
Fanya mambo haya kabla ya kufikisha miaka 30
Kufikisha miaka 30 ni kipindi cha mabadiliko makubwa kwenye maisha ya mtu na taaluma yake. Ni kipindi ambacho malengo ya wengi kitaaluma na familia hu [...]
Dalili 10 kuwa mwanao anatumia dawa za kulevya.
Utumiaji wa dawa za kulevya huja na dalili mbalimbali mwenye mwili wa mtu. Lakini si mara zote mtu akionesha moja ya dalili tajwa kwenye andiko hili a [...]
Simu 10 ghali zaidi duniani 2021
1. Falcon Supernova iPhone 6 Pink Diamond - $48.5 Milioni (111,312,000,929.46 Tsh)
Simu hii ina almasi ya pink iliyopachikwa kwa nyuma. Kampuni inayo [...]
Ifahamu kwa undani chanjo ya korona ya ‘Janssen’ ya kampuni ya Johnson & Johnson
Ni wazi wengi wanaitambua kampuni hii kwa utengenezaji wa mafuta na sabuni za watoto. Mbali na vipodozi kampuni hiyo pia inazalisha vifaa tiba na dawa [...]
Nini maana ya ugaidi, na gaidi ni nani?
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Machi 17, 2005 ulitoa maana ya “ugaidi” kuwa ni kitendo chochote kilichodhamiria kusababisha madhara ua hofu kubwa kwa [...]
Mambo matatu ya kufanya kujilindaa dhidi ya mhalifu anayefyatua risasi
MAMBO MATATU YAKUFANYA KUJILINDA DHIDI YA MHALIFU ANAYEFYATUA RISASI
Katika mazingira ambayo huku yatarajia, aidha benki, barabarani, uwanja wa mpi [...]