Category: Kimataifa
Taulo za kike sasa bure
Bidhaa za hedhi, zikiwemo tamponi na taulo za kike, zitapatikana bila malipo katika vituo vya umma nchini Scotland kuanzia Jumatatu.
Mswada wa Bidh [...]
Ofisa wa Tume aliyepotea Kenya akutwa amefariki Kilombero
Saa chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kumtangaze Dk William Ruto kuwa Rais mteule wa Kenya, mwili wa ofisa wa tume hiyo [...]
Alichosema Ruto baada ya ushindi
Baada ya Tume Huru ya Uchaguzi kumtangaza Dk William Ruto kuwa mshindi (Rais Mteule) wa uchaguzi uliofanyika Agosti 9 mwaka huu, ametaja siri ya ushi [...]
Rais Samia awaonya wanaofanya urasimu kwenye utoaji wa Visa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza maafisa wanaoshugulikia hati za kumruhusu mtu kuingia nchini (VISA) kuacha u [...]
Urusi wavutiwa na Rais Samia
Serikali ya Urusi imesema sera ya uwazi ya Rais Samia Suluhu Hassan inawatia moyo na kuahidi kuhamasisha uwekezaji,biashara na watalii wengi wa Urusi [...]
Msimamizi wa uchaguzi Kenya atoweka
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya, Wafula Chebukati amevitaka vyombo vya usalama kusaidia kumrudisha afisa wa IEBC ambaye ali [...]
Baba yake Lupita ashinda uchaguzi Kenya
Mwigizaji aliyeshida tuzo ya Oscar, Lupita Nyong'o jana Agosti 11,2022 amempongeza baba yake kwa kushinda muhula wa pili na wa mwisho kama gavana wa k [...]
Watu wanne wamefariki Kenya, vurugu za Uchaguzi Mkuu
Licha ya juhudi za wagombea wa viti mbalimbali nchini Kenya kulaani vurugu na kuwataka wafuasi wao kuwa watulivu wakati shughuli ya kuhesabu kura ik [...]
Rais Samia atangaza ujio wa Filamu ya The Hidden Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba vivutio ambavyo havikuonyeshwa kwenye awamu ya kwanza ya filamu ya Ro [...]
Gharama ya kumuona daktari mbioni kufutwa
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameshangazwa na baadhi ya hospitali kuwatoza wagonjwa kiasi cha shilingi 15,000 ili kuweza kumuona daktari jambo ambalo s [...]