Category: Kimataifa
Matumizi ya trilioni 2.4 za IMF
Wizara ya Fedha na Mipango, imesema trilioni 2.4 zilizoidhinishwa na Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) ni kutokana na utendaji kazi wa Rais Samia Su [...]
Tanzania kupokea trilioni 2.4 mkopo kutoka IMF
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia mkopo wa dola za Marekani bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2.422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi [...]
Mradi wa umeme Rusumo wafika asilimia 95
Imeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kum [...]
Rais ajiuzulu
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaska amejiuzulu rasmi leo alhamisi Julai 14,2022 akiwa Singapore.
Rais huyo aliamua kukimbia nchi yake siku ya Jum [...]
Rais wa Sri Lanka kujiuzulu leo
Spika wa Bunge nchi Sri Lanka ametangaza kwamba Rais wa Nchi hiyo atajiuzulu leo Julai 13, 2022 baada ya kutuma barua.
Akizungumza na waandishi wa [...]
Bingwa kuingiza watalii Tanzania
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoin [...]
Sababu ya Rais wa Sri Lanka kujiuzulu
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Ranil Wickremesinghe wamekubali kujiuzulu baada ya waandamanaji kuvamia makazi yao [...]
Rais ajiuzulu
Spika wa Bunge la Sri Lanka Mahinda Yapa Abeywardena ametangaza jana kuwa Rais wa nchi hiyo Gotabaya Rajapaksa amekubali kujiuzulu wadhifa wake July 1 [...]
Rais Samia atoa pole kwa Wajapani
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Serikali ya Japan kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Shinzo Abe.
A [...]