Category: Kimataifa
Kushuka kwa bei za vyakula
Huenda maumivu ya kupanda kwa bidhaa Tanzania yakapungua siku za hivi karibuni baada ya wataalam wa uchumi kueleza kuwa bei za vyakula duniani zilishu [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 7, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Ashtakiwa kwa wizi wa mbegu za kiume
Mahakama moja magharibi mwa Ujerumani ilimpata mwanamke mmoja na hatia ya unyanyasaji wa kijinsia na kumpa kifungo cha nje cha miezi sita kwa kuharibu [...]
Msemaji mpya wa Ikulu
Karine Jean-Pierre atakuwa katibu wa habari ajaye wa Ikulu ya White House, utawala wa Biden umetangaza, huku Jen Psaki akijiuzulu kutoka wadhifa huo w [...]
Waziri Mkuu: Bei zitashuka
Katika kikao kilichofanyika usiku wa kuamkia leo Mei 5, Dar es Salaam, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia za kupun [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 5, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Aingizwa mochwari akiwa hai
Mzee mmoja raia wa China aokolewa na mhudumu wa mochwari baada ya kupelekwa kwenye chumba hicho cha kuhifadhia maiti akiwa hai.
Baada ya kupokea mf [...]
Wiz Khalifa aponzwa na bangi
Kwa wafuatiliaji na wadau mbalimbali wa tasnia ya mitindo duniani, tukio la Met Gala, sio kitu kigeni masikioni kwao. Ukubwa wa tukio hili unafananish [...]
Huduma za Twitter kulipiwa
Bilionea Elon Musk ambaye ndiyo mmiliki wa mtandao wa Twitter ameshikilia msimamo wake wa kuleta mabadiliko kwenye mtandao huo ikiwemo kulipia huduma [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 4, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]