Category: Kimataifa
Viwango vya kubadili fedha Aprili 10, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Jada: Sikutaka kuolewa na Will
Baada ya Will Smith kufungiwa kushiriki Tuzo za Oscars kwa miaka kumi kwa kuonekana kuchukulia 'serious' utani wa mchekeshaji Chris Rock kuhusu mke wa [...]
Rais Samia aibuka kinara
Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa mshindi wa tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 baada ya viongozi na watu mashuhuri kutambua mchango wake katika [...]
Zitto aikosoa ramani ya EAC
Mwenyekiti wa ACT, Zitto Kabwe ameikosoa ramani mpya ya Umoja wa nchi za Afrika Mashariki kwa kusema kwamba haijakamilika kwa kukosekana Zanzibari.
[...]
Aliyeimba ‘Ekwueme’ afariki dunia
Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake "Ekwueme" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 9, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Hii hapa Ramani mpya ya EAC
Rais Uhuru Kenyatta, Paul Kagame na Yoweri Museveni wa Kenya, Rwanda na Uganda mtawalia, leo Aprili 6, wamezindua ramani mpya ya Jumuiya Afrika Mashar [...]
Magonjwa 7 yaliyoua zaidi duniani
Asian Flu (1956-1958)
Vifo milioni 2
Haya ni mafua yaliyoanzia Guizhou, China na yalidumu kwa miaka miwili. Haya mafua yalienea hadi Singapore, Ma [...]
Vita ya Urusi-Ukraine ilivyoathiri bei za mafuta
Kupanda kwa bei ya mafuta kumewaacha wamiliki wa vyombo vya moto, madereva daladala hata watembea kwa miguu kutaharuki pasi na kujua kuwa Tanzania si [...]
Wahifadhi wabaka wananchi waishio mbugani
Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro imekuwa hema kwa familia nyingi za jamii ya kimasai ambao huishi humo pamoja na wanyama hao kama ilivyo kwa Wabatwa kat [...]