Category: Kitaifa
Magazeti ya leo Juni 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Juni 13,2022.
[...]
Askari auawa kwa mshale Ngorongoro
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amewataka wananchi Wa Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro Kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo ya serika [...]
Rais Samia aliwaza mbali nyongeza ya mishahara
Mei 14,2022 , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alitimiza ahadi yake ya kuongeza mishahara kwa kutangaza kima cha chin [...]
Ngorongoro mambo safi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu ametoa fedha kukamilisha mchakato wa wananchi kuhama kutoka Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomer [...]
Ukweli kuhusu wakazi wa Ngorongoro
Serikali imesema wananchi wa maeneo ya Loliondo wapo salama ikibainisha kuwa “hakuna mapambano yoyote” kati ya polisi na wakazi hao wa kaskazini mwa [...]
Makamba afanya uteuzi
Waziri wa Nishati, January Makamba amefanya uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
[...]
Sabaya ashinda kesi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita katika kesi ya uhujumu uchumi namba [...]
Makamba: Si kweli, bei ya umeme haijapanda
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema taarifa zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kupanda kwa bei ya umeme si za kweli na Serikali inasi [...]
Watu 18 wafa ajali ya basi mafinga
Watu 18 wamefariki dunia papo hapo baada ya basi dogo aina Costa kugongana uso kwa uso na lori la mizigo karibu na eneo la Changarawe, Mafinga mkoani [...]
Samia atoa milioni 500 kwa ajili ya maji
Rais Samia Suluhu anazidi kuzinufaisha mamlaka za maji baada ya kuagiza zipatiwe Sh milioni 500 kama mkopo kwa ajili ya kusaidia uunganishaji maji kwa [...]