Category: Kitaifa
Amuua mume wake kwa kumkaba usingizini
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Maria Matheo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kumuua mume wake, Gabriel Nguwa (80 [...]
Kesi ya Makonda yaondolewa
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kinondoni imetupilia mbali na kuiondoa kesi iliyomkabili Paul Makonda juu ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuingilia matanga [...]
Corona ipo
Wizara ya Afya nchini Tanzania imewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Uviko-19 ikiwemo kupata chanjo kwa sababu ugon [...]
Samia kutoa bilioni 100 kila mwezi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema serikali itatoa ruzuku ya Sh bilioni 100 kila mwezi kwa ajili ya kukabiliana [...]
Wahitimu kukopeshwa kwa vyeti vyao
Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujia [...]
Majaliwa awasha moto
Waziri Kuu Kassim Majaliwa ametoa siku tano kuanzia leo Juni 8, 2022 hadi Juni 12, 2022 Wizara ya Kilimo iwe imeondoa pikipiki zote wizarani hapo na k [...]
Bei mpya za mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Alkhamis Tarehe 09/ [...]
Atoroka nyumbani kisa kufeli mitihani
Dorice Venance (16) mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Migamboni, anadaiwa kutoroka nyumbani kwao Tabata Segerea tangu JUni 4, mwaka huu [...]
Nunua luku mapema
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema huduma ya kununua umeme kupitia Luku itakosekana kwa muda wa masaa mawili usiku kuamkia Alhamisi Juni 9 m [...]
Mwendokasi kwa watakaokwenda SabaSaba
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imeingia mkataba wa ushirikiano na Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) utakaowawezesha wananc [...]