Category: Kitaifa
Viwango vya kubadili fedha Mei 14, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Serikali dhidi ya ukatilii wa wanawake
Serikali imesema itaendelea kuongeza jitihada katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto kwa kushirikiana na wadau wa maende [...]
Masomo ya Samia kwa wanaharakati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhuria na kushiriki Maadhimisho ya Miaka 10 ya Muungano wa Watetezi wa Haki za [...]
Aruhusu wanaodaiwa ada kufanya mitihani
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Tulia Ackson ameielekeza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutoa tamko la wanafunzi wa vyuo [...]
Mnyika: Wanataka ubunge kwa msilahi pekee
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amefunguka na kusema kwamba baada ya Kamati Kuu kutoa uamuzi wao dhidi ya wana [...]
Ajinyonga kisa ujumbe wa ‘Tuma kwenye namba hii’
Amos Tofiri (29), mkazi wa kijiji cha Lukunguni,mkoani Morogoro amejinyonga kutokana na deni la Sh 400,000 alizokopa na akazituma kwa mtu aliyemtumia [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 13, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5
Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Baraza la Mitihani la T [...]
Bongo Spider Man: Bora niache
Mchekeshaji Jackie maarufu kama Bongo Spider Man, amefunguka na kusema anaacha ubunifu wake wa kuchekesha kama spider man baada ya kuzuka kwa taarifa [...]
Tathmini ya ziara za Rais Samia Suluhu
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus, ametoa na kueleza dondoo za tathmini ya ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. [...]