Category: Kitaifa
Mgeni rasmi siku ya Kiswahili duniani
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yatakayofanyika kitaifa Julai 07, 2022 jijini Da [...]
199 namba mpya ya huduma kwa wateja
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuujulisha Umma kuwa, katika kuboresha huduma zake za mawasiliano, unabadilisha namba ya simu bila mali [...]
Rais Samia atimiza ahadi ya bajaji kwa Clara
Lile agizo alilolitoa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan la kumpatia bajaji mjasiriamali wa lishe, Clara Sanga alilolitoa juzi kwenye maadhimisho ya miaka [...]
Matunda ya Royal Tour
Filamu ya Royal Tour pamoja na ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi, zimefungua uchumi wa Tanzania kwa kuongeza uwekezaji kutoka Dola za Mare [...]
Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa wizi wa ndimu
Mahakama ya Wilaya Mwera imemhukumu Ramadhan Gere Shija (20) mkazi wa Bungi kutumikia Chuo cha Mafunzo kwa muda wa mwaka mmoja na kulipa faini ya Sh5, [...]
Wanaotuma ujumbe wa jiunge na freemason wakamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu 23 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya utapeli kwa njia ya mtandao.
Kukamatw [...]
Mapato ya uwindaji wa kitalii yaporomoka
Mapato yatokanayo na uwindaji wa kitalii unaofanyika katika mapori tengefu na mapori ya akiba Tanzania yameporomoka kwa Sh1.3 bilioni ndani ya mwaka m [...]
Serikali yapiga marufuku wagonjwa wa saratani kurudishwa nyumbani
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road imetakiwa kutomrudisha mgonjwa yeyote wa Saratani nyumbani kwa sababu ya kutokuwa na pesa za matibabu.
Kauli hiyo [...]
Mahakama yaweka zuio akina Mdee kuguswa
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27,2022 imetoa zuio la muda kuhusu kutofanyika chochote kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake [...]