Category: Kitaifa
Sababu ya Mbunge kuruka sarakasi bungeni
Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay ameruka sarakasi bungeni ikiwa ni kuonyesha msisitizo wa hoja yake kuwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imek [...]
Walioomba Sensa wapita idadi inayohitajika
Watu 674,484 wameomba nafasi za ajira za muda za Sensa ya Watu na Makazi ikiwa imezidi idadi kamili inayohitaji kwa ajili ya shughuli hiyo ni 205,000. [...]
Lissu na Lema nchini
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa w [...]
Sababu za watumishi kukosa nidhamu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukosekana kwa mafunzo ya kada mbalimbali za utumishi wa umma ni miongoni mwa sababu zinazochangia kutet [...]
Chanzo cha moto IFM
Siku ya jana Ijumaa Mei 20,2022 Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kilichopo jijini Dar es Salaam kiliwaka moto ambao uliteketeza baadhi ya vifaa katik [...]
Spika Tulia, Mdee na wenzake wakingiwa kifua na WiLDAF
Tamko la Jukwaa la Wanawake Wakurugenzi wa Asasi za Kiraia nchini Tanzania la kukemea vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake viongozi mitandaoni wanaof [...]
Mapacha wanaokula magodoro
Joyce Mrema mama wa mapacha wawili amejitokeza hadharani na kupaza sauti akiomba msaada wa madaktari bingwa,kujitosa kuwatibu wanawe wanaokula magodor [...]
Lipumba amtabiria makubwa Rais Samia 2025
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Haruna Lipumba amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan k [...]
Diwani CCM apotea
Diwani wa Kata ya Kawe mkoani Dar es Salaam, Mutta Rwakatare (CCM) anadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha huku vyombo vya dola vikiombwa kus [...]
Kesi ya Mange yafutwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali kuondoa kesi inayomkabili Mkurugenzi wa Mtandao wa U- turn unaoendesha App ya Mange Kimambi, Allen Mhina baa [...]