Category: Kitaifa
CCM yakubali deni
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Tiwtter, kimetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu madai ya wakandarasi dhidi ya Uhuru [...]
TMDA: Tahadhari dawa za nguvu za kiume
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba(TMDA), imeonya kuwa watumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume pasi na maelekezo ya wataalamu wa afya wako hatarini ku [...]
Amuua baba yake baada ya kumkuta amelala na mkewe
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga , linamshikilia Mwandu Shija (32) mkazi wa Ndala Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Shija Ro [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 28, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Jifunze kupasi shati
Utanashati na umaridadi wa mtu huletwa na muonekano wake wa nje kwanza kuanzia usafi wa mwili hadi mavazi aliyovaa na muonekano wa mavazi hayo.
Una [...]
Zamaradi: Mwijaku anaupiga mwingi
Mkurugenzi na Mmiliki wa Zamaradi TV, Zamaradi Mketema amempa pongezi mtangazaji wa redio ya Clouds, Mwijaku kwa kuwamwambia anafanya kazi nzuri sana [...]
Baba amnajisi mtoto wa miezi 11
Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio la mtoto wa miezi 11 kunajisiwa na baba yake wa kambo anayeishi eneo la Am [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 27, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Rais Samia aachia huru wafungwa 3826
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali [...]
TAMISEMI yafafanua maombi ya ajira
Baada ya kuwa na malalamiko juu ya mfumo wa uombaji ajira kada ya elimu na afya, Ofisi ya Rais- TAMISEMI imesema kwa sasa mfumo wa ajira unafanya kazi [...]