Category: Kitaifa
Viwango vya kubadili fedha Aprili 27, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Rais Samia aachia huru wafungwa 3826
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali [...]
TAMISEMI yafafanua maombi ya ajira
Baada ya kuwa na malalamiko juu ya mfumo wa uombaji ajira kada ya elimu na afya, Ofisi ya Rais- TAMISEMI imesema kwa sasa mfumo wa ajira unafanya kazi [...]
Matumaini kero za muungano
Huku leo Aprili 26, 2022 Tanzania ikisherehekea Muungano wa Tanzania unaoundwa na Tanganyika na zanzibar, kero 18 kati ya 25 zimetatuliwa.
Waziri w [...]
Nauli 700
Bei ya nauli ya bajaji za kuchangia mkoani Mbeya zimepanda hadi kufikia 700 baada ya bei hiyo kudumu kwa miaka tisa sasa.
Akizungumza na Nipashe, M [...]
Agizo la Dkt. Mpango kwa Nape
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ku [...]
Umoja Party wamlilia Rais Samia
Uongozi wa Chama cha Umoja Party umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati kuhakikisha wanapata haki yao ya usajili katika Ofisi za Msajili w [...]
CCM kuimarisha muungano
Ikiwa leo Aprili 26, 2022 siku ya kuadhimisha Muungano katika ya Tanganyika na Zanzibar, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kwamba hakitaacha kuendele [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 26, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Air Tanzania: Ndege zipo salama
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetoa ufafanuzi kuhusiana na habari iliyosambaa mitandaoni kuhusu hali ya matairi ya ndege zake ambayo inadaiwa kuwa [...]