Category: Kitaifa

1 132 133 134 135 136 191 1340 / 1903 POSTS
Zainab ammwagia mtu uji Zanzibar

Zainab ammwagia mtu uji Zanzibar

Mkazi wa Mtaa wa Zanzibar, Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Adamu Mohammed ameliomba Jeshi la Polisi limkamate mama mzazi wa mkewe, Zainab Ally kwa ma [...]
Aliyekuwa Meya wa Moshi ang’oa misaada yake

Aliyekuwa Meya wa Moshi ang’oa misaada yake

Juma Raibu aliyekuwa Meya Mstahiki wa Manispaa ya Moshi ambaye hivi karibuni aling’olewa wadhifa huo ameamua kwenda kung’oa misaada aliyowahi kuitoa k [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 18, 2022

Viwango vya kubadili fedha Aprili 18, 2022

Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Bodaboda ajinyonga kwa mkanda

Bodaboda ajinyonga kwa mkanda

Idrisa Salum Milundiko (24), mkazi wa Kitongoji cha Kasokola Mashariki B wilayani Mpanda, Mkoa wa Katavi anayejihusisha na uendeshaji wa bodaboda, ame [...]
Wizara ya afya yatoa nafasi 1,621 za kazi

Wizara ya afya yatoa nafasi 1,621 za kazi

Wizara ya Afya kupitia kibali cha Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.  Na. FA.97/128/01/”B”/40 cha tarehe 01 Aprili, 20 [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 16, 2022

Viwango vya kubadili fedha Aprili 16, 2022

Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
TBS walitaka gari la Kipanya

TBS walitaka gari la Kipanya

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limemtaka Masoud Kipanya kufika katika Ofisi za TBS na gari la kutumia umeme alilolibuni hivi karibuni ili liweze ku [...]
Maunda Zorro kuzikwa kesho

Maunda Zorro kuzikwa kesho

 Mwili wa Msanii Maunda Zorro unatarajiwa kuagwa na kuzikwa siku ya Jumamosi Aprili 16 eneo la Toangoma, Kigamboni. Hayo yamesemwa jana Alhamisi Apri [...]
1 132 133 134 135 136 191 1340 / 1903 POSTS
error: Content is protected !!