Category: Kitaifa

1 130 131 132 133 134 209 1320 / 2090 POSTS
Samia kutoa bilioni 100 kila mwezi

Samia kutoa bilioni 100 kila mwezi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema serikali itatoa ruzuku ya Sh bilioni 100 kila mwezi kwa ajili ya kukabiliana [...]
Wahitimu kukopeshwa kwa vyeti vyao

Wahitimu kukopeshwa kwa vyeti vyao

Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujia [...]
Majaliwa awasha moto

Majaliwa awasha moto

Waziri Kuu Kassim Majaliwa ametoa siku tano kuanzia leo Juni 8, 2022 hadi Juni 12, 2022 Wizara ya Kilimo iwe imeondoa pikipiki zote wizarani hapo na k [...]
Bei mpya za mafuta

Bei mpya za mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Alkhamis Tarehe 09/ [...]
Atoroka nyumbani kisa kufeli mitihani

Atoroka nyumbani kisa kufeli mitihani

Dorice Venance (16) mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Migamboni, anadaiwa kutoroka nyumbani kwao Tabata Segerea tangu JUni 4, mwaka huu [...]
Nunua luku mapema

Nunua luku mapema

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema huduma ya kununua umeme kupitia Luku itakosekana kwa muda wa masaa mawili usiku kuamkia Alhamisi Juni 9 m [...]
Mwendokasi kwa watakaokwenda SabaSaba

Mwendokasi kwa watakaokwenda SabaSaba

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imeingia mkataba wa ushirikiano na Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) utakaowawezesha wananc [...]
Rais Samia na juhudi za kuondoa tatizo la maji nchini

Rais Samia na juhudi za kuondoa tatizo la maji nchini

Na Yohana Mangala, Dar es Salaam Methali moja ya kiswahili inasema ‘Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe’ ndivyo tunavyoweza kusema kwenye utendaj [...]
Mradi mkubwa Tanzania

Mradi mkubwa Tanzania

Tatizo la uhaba wa maji huenda likawa historia katika miji 28 nchini Tanzania ukiwemo Muheza mkoani Tanga  pale utakapokamilika mradi wa maji katika m [...]
Kiswahili ni silaha

Kiswahili ni silaha

Lugha ya Kiswahili ni silaha ya taifa letu, imekuwa ya kwanza kutoka Bara la Afrika kutambuliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Ut [...]
1 130 131 132 133 134 209 1320 / 2090 POSTS
error: Content is protected !!