Category: Kitaifa

1 153 154 155 156 157 170 1550 / 1699 POSTS
Ujumbe uliotumwa na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa kwenda kwa Rais Samia

Ujumbe uliotumwa na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa kwenda kwa Rais Samia

Wafungwa waliopo gereza la Uyui mkoani Tabora wametuma salamu kwa Rais Samia Suluhu Hassan kupitia risala iliyosomwa na mfungwa kiongozi, Masali Mis [...]
Bodaboda walalamika kuchapwa bakora na polisi

Bodaboda walalamika kuchapwa bakora na polisi

Madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda wamemlalamikia Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere kuwa polisi wamekuwa  wakiwachapa bakora bila kuj [...]
Shuhuda aelezea Ofisa Mtendaji wa Kata alivyouawa ofisini Dar es Salaam

Shuhuda aelezea Ofisa Mtendaji wa Kata alivyouawa ofisini Dar es Salaam

Ziana Mohammed, shuhuda wa mauaji ya Ofisa Mtendaji wa Kata ya Mbezi Msumi, Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, Kelvin Mowo, amesema  alienda ofisi [...]
Mgawanyo wa fedha za IMF kaa la moto kwa wakuu wa mikoa

Mgawanyo wa fedha za IMF kaa la moto kwa wakuu wa mikoa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali ya Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ameanisha mgawo wa fedha Sh bilioni 535.6 kati ya Sh trilioni [...]
IGP Sirro ahamisha Makamanda wa mikoa watatu

IGP Sirro ahamisha Makamanda wa mikoa watatu

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi imeeleza kuwa Mkuu wa Jeshi hilo nchini, IGP Simon Sirro  tarehe 4/10/2021 alifanya mabadiliko ya Makamanda watatu kwa [...]
Waumini wamkataa Mchungaji aliyeiba Mke wa Mzee wa Kanisa

Waumini wamkataa Mchungaji aliyeiba Mke wa Mzee wa Kanisa

Mchungaji wa Ushirika mmoja wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri mkoani Morogoro analalamikiwa kwa tuhuma za kuchukua mke wa aliyekuwa Mzee wa Kanisa hi [...]
TCU yaongeza muda wa udahili

TCU yaongeza muda wa udahili

Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Charles Kihampa ameeleza kuwa nyongeza ya muda wa udahili kuanzia Ijumaa hii imekuja baada ya [...]
Taarifa ya ACT Wazalendo kuhusu kauli ya Bernard Membe

Taarifa ya ACT Wazalendo kuhusu kauli ya Bernard Membe

Siku chache baada ya aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe kusema kuwa anaunga mkono utendaji [...]
Jafo apiga marufuku plastiki laini kwenye vifuniko vya chupa

Jafo apiga marufuku plastiki laini kwenye vifuniko vya chupa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amepiga marufuku uingizaji, uzalishaji, usambazaji na matumizi ya  vif [...]
CHADEMA yatoa masharti kushiriki kikao na Msajili wa Vyama vya Siasa

CHADEMA yatoa masharti kushiriki kikao na Msajili wa Vyama vya Siasa

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Benson Kigaila amesema kwamba kabla ya kushiriki kikao chochote wanataka zuio ambalo linafanyw [...]
1 153 154 155 156 157 170 1550 / 1699 POSTS
error: Content is protected !!