Category: Kitaifa
Hapa ndipo atakapozikwa Marehemu Ole Nasha
Serikali kupitia Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama imetoa taarifa fupi kuhusu maanda [...]
Tony Blair: Rais Samia anapambana kuleta maendeleo kwa wananchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe Tony Bl [...]
Agizo la Makamba kwa wakuu wa Mikoa 8
Akizungumza kwenye semina iliyowakutanisha wakuu wa mikoa minane jijini Tanga, pamoja na baadhi ya viongozi wa serikali, bunge, wizara ya nishati na t [...]
Morogoro, Dodoma vinara ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa
Tarehe 29 mwezi Septemba kila mwaka hutambulika kama Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani. Takwimu zilizotolewa na Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk James [...]
Mkakati wa NIDA, TRA na Bodi ya Mikopo kusaka wadaiwa
Serikali imeendelea kutoa mikopo kufadhili masomo ya elimu ya juu kwa wanafunzi nchini ambapo inategemea kutumia Tanzania shilingi bilioni 570 kwa mwa [...]
Soma hapa wasifu wa Mwenyekiti mpya wa Simba SC
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kumteua Salim Abdallah, maarufu Try Again kuchukua n [...]
Hili hapa agizo la Serikali kwa wafanyakazi wa kigeni SGR
Serikali kupitia, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Patrobas Katambi, ameliagiza Shirika la Reli Tanzania (TRC [...]
Rais awapangia vituo vya kazi mabalozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 28 Septemba, 2021 amewapangia vituo vya kazi Mabalozi wafuatao:-
Kwanza, B [...]
Rais Samia aieleza Benki ya Dunia malengo makuu 3 ya serikali yake
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Hafez Ghanem, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Katik [...]