Category: Kitaifa
Aliyefumiliwa nyuzi na daktari aeleza mkasa mzima
Zubeda Ngereza, mkazi wa Kijiji cha Kerenge tarafa ya Magoma wilayani Korogwe mkoani Tanga ameeleza jinsi tabibu Jackson Meli alivyomfumua nyuzi ali [...]
Ujenzi wa SGR (Dar-Moro) wafikia 93%
Mkurugenzi wa Mkuu wa Shirika Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema hadi kufikia Agosti 2021 ujenzi wa SGR kipande cha Dar es Salaam hadi mkoa [...]
Shule ya kimataifa ya Wakimbizi kujengwa Tanzania
Balozi wa Shirika la Elimu, Utamaduni na Sayansi la Umoja wa Nchi za Kiarabu, Amiri Fehri anakusudia kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano [...]
Wafanyakazi 28 wa GGM kizimbani kwa uhujumu uchumi
Wafanyakazi 28 wa Mgodi wa Dhahabu Geita (GGM) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita wakikabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi, kuongoza g [...]
Wavuvi wavua risasi 1,400 za SMG ziwani
Wavuvi katika mwambo wa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wamevua viboksi viwili ndani yake vikiwa na risasi 1,489 zinazotumiwa n [...]
Utapeli wa ardhi kwa kutumia mahakama waibuka Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewatahadharisha wananchi kuhusu utapeli mpya wa ardhi unaoendelea mkoani humo kwenye maeneo ya wazi au v [...]
Mufti wa Zanzibar kuongezewa hadhi
Baraza la Wawakilishi la Zanzibar limepitisha sheria mpya ya kuanzisha ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar. Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Dkt Mwinyi Talib [...]
Mzazi amuuza mtoto wake kwa shilingi laki moja
Septemba 7 mwaka huu, Jeshi la Polisi mkoani Mbeya lilitangaza kuwashikilia watu wawili kwa tuhuma ya kufanya biashara ya watoto. Watu hao, Daniel Jul [...]
Taarifa ya serikali kuhusu ajira 10,000 za walimu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo inasubiria kupata kibali cha kuajiri wa [...]
Serikali kujenga shule za wasichana 26, na za kata 1,000
Serikali imepanga kuanza kutekeleza mpango wa ujenzi wa shule za sekondari za wasichana kila mkoa na nyingine 1,000 kwenye kata zisizokuwa na sekondar [...]