Category: Kitaifa

1 179 180 181 182 183 210 1810 / 2093 POSTS
Dawa ya usafirishaji binadamu yapatikana

Dawa ya usafirishaji binadamu yapatikana

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu sera, Bunge, Ajira , kazi, vijana na watu wenye ulemavu Jenista Mhagama amesema katika kukabiliana na biashara har [...]
Hali ya maji tumuachie Mungu

Hali ya maji tumuachie Mungu

Mkuu wa mkoa Dar es Salaam , Amos Makalla amekiri kwamba hali bado si shwari na kilichopo ni kuomba kudra za Mwenyezi Mungu baada ya kutembelea mto Ru [...]
Wasichana waliopata ujauzito kuruhusiwa kurudi shuleni

Wasichana waliopata ujauzito kuruhusiwa kurudi shuleni

Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako amesema kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, Serikali imeamua kuondoa vikwazo vilivyopo katika elimu husu [...]
Serikali yatamba kushamiri kwa Demokrasia nchini ndani ya miaka 60 ya Uhuru

Serikali yatamba kushamiri kwa Demokrasia nchini ndani ya miaka 60 ya Uhuru

Katika kipindi cha miaka 60 ya Uhuru, kumekuwa na maendeleo ya demokrasia ya vyama vingi nchini sambamba na udumishwaji wa amani, utulivu, uzalendo na [...]
Rais Samia atoa maagizo jinsi yakupunguza ajali za barabarani

Rais Samia atoa maagizo jinsi yakupunguza ajali za barabarani

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua wiki ya nenda kwa usalama barabarani huku akiagiza elimu ya matumizi sahihi ya barabara ielekezwe zaidi kwa maderev [...]
Ngoma bado ngumu kesi ya Sabaya

Ngoma bado ngumu kesi ya Sabaya

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita (Enock Mnkeni, Watson Mwahomange, John Aweyo, Sylvester N [...]
Rais Samia akiri kwamba Harmo ni Tembo

Rais Samia akiri kwamba Harmo ni Tembo

Rais Samia Suluhu Hassan amemwagia sifa msanii Harmonize maarufu kama Konde boy au Tembo wakati akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Ba [...]
Vigogo Dar wawekwa kitimoto

Vigogo Dar wawekwa kitimoto

Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri amethibitisha kuwamba wapo watendaji waliosimamishwa kazi ili kupisha kwa uchunguzi wa ufisadi wa [...]
Ujumbe wa RC Makalla kwa Mwijaku na Baba Levo

Ujumbe wa RC Makalla kwa Mwijaku na Baba Levo

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Amos Makalla amewataka akina Baba Levo na Mwijaku kuanza kuhamasisha watu kwenye kufanya usafi na kutunza maz [...]
Lukuvi kutafuta suluhu na madalali

Lukuvi kutafuta suluhu na madalali

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, William Lukuvi anatarajia kukutana na madalali wa nyumba na viwanja jijini Dar es Salaam Desemba 13 mwaka huu baada [...]
1 179 180 181 182 183 210 1810 / 2093 POSTS
error: Content is protected !!