Category: Kitaifa

1 177 178 179 180 181 210 1790 / 2093 POSTS
Wabunge wa Umoja wa Ulaya waridhishwa na mwelekeo wa kiuchumi na kisiasa nchini Tanzania

Wabunge wa Umoja wa Ulaya waridhishwa na mwelekeo wa kiuchumi na kisiasa nchini Tanzania

Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Umoja wa Ulaya wameelezea kuridhishwa kwao na mwelekeo wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan tangu kuingia kwake madara [...]
Mama aua watoto wake kisa ugumu wa maisha

Mama aua watoto wake kisa ugumu wa maisha

Watoto wawili wa familia moja wamefariki dunia huku wengine watatu wakinusurika kifo baada ya kunyweshwa sumu na mama yao mzazi, Veronica Gabriel mkaz [...]
Mwanafunzi abakwa, atobolewa macho na Kuuwawa

Mwanafunzi abakwa, atobolewa macho na Kuuwawa

Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maendeleo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Zinati Alifa  mkazi wa mtaa wa Mchema mwenye umri wa mia [...]
Kauli ya Jeshi la Polisi kuhusu kugeuza simu za wizi kuwa za biashara

Kauli ya Jeshi la Polisi kuhusu kugeuza simu za wizi kuwa za biashara

Jeshi la Polisi nchi Tanzania leo November 30 limetoa taarifa kufuatia kuwepo kwa taarifa mbaya kuhusu jeshi hilo, Mnamo Novemba 29 mwaka huu kuna taa [...]
Upandikizaji Uboho sasa kufanyika Muhimbili

Upandikizaji Uboho sasa kufanyika Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imeanza rasmi upasuaji na upandikizaji wa uboho( jina la kitaalam, Bone Marrow, ni ute unaopatikana ndani ya mifup [...]
Vanessa Mdee adai kutolipwa na Standard Chartered

Vanessa Mdee adai kutolipwa na Standard Chartered

Aliyewahi kuwa nyota wa muziki nchini Tanzania, Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amewataka wasanii na watu maarufu nchini kuwa makini na kampuni zinazowac [...]
NHC yawashukia wadaiwa sugu

NHC yawashukia wadaiwa sugu

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linatarajia kuanza kuwaondoa wapangaji wa nyumba zake ambao ni wadaiwa sugu huku kwa mujibu wa Naibu Waziri wa  Wizar [...]
Tahadhari kirusi kipya cha Corona

Tahadhari kirusi kipya cha Corona

Wizara ya Afya Tanzania imetoa tahadhari kwa Watanzania kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya kujikinga na maambukizi ya kirusi kipya cha Cor [...]
Rais Samia atoa maelezo kuhusu wanafunzi waliojifungua kuendelea na masomo

Rais Samia atoa maelezo kuhusu wanafunzi waliojifungua kuendelea na masomo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu ametilia mkazo agizo la Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako kwamba wanafunzi wote waliopata ujauzi [...]
1 177 178 179 180 181 210 1790 / 2093 POSTS
error: Content is protected !!