Category: Kitaifa
Rais Samia: Sina kabila katika utendaji
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wapya aliowaapisha leo kuacha ukabila katika utendaji wao wa kazi na kusisitiz [...]
Soma hapa maagizo 7 yaliyotolewa na Rais Samia leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua kampeni ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19.
Katika hotuba yak [...]
Rais Samia atunukiwa Tuzo Bodi ya Utalii Afrika
Bodi ya Utalii Afrika (ATB), imemtunuku Rais Samia Suluhu Hassan tuzo ya Utalii kwa kutambua juhudi zake za kukuza sekta hiyo nchini. Tuzo hiyo ilitol [...]
Serikali yasitisha mfumo mpya wa ukusanyaji ada za maegesho
Kutokana na malalamiko ya wananchi kuhusu changamoto zinazojitokeza wakati wa ukusanyaji wa ada za maegesho ya magari kwa kutumia mfumo wa kielektroni [...]
Polepole apoteza uenyekiti kamati ya Bunge
Spika wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai (Mb), amefanya mabadiliko madogo ya Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge kwa kuzingatia matakwa ya Kanuni ya 135 (3) [...]
Kilichomponza Dkt. Philemon Sengati, mkuu wa Mkoa wa Shinyanga aliyetumbuliwa
Dkt. Philemon Sengati aliteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga na Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 15 Mei 2021. Kabla ya hapo amewahi kuwa Mkuu wa mko [...]
Tafakuri: Kwanini ndege zimepokelewa Zanzibar?
Kufufua Shirika la Ndege Tanzania ilikuwa ni moja ya ndoto ya Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Wakati wa uhai wake, Tanzania ili [...]
Rais Samia ateua na kutengua
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8 Oktoba amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kadhaa kama ifuatavyo.
Rais [...]
Serikali kuongeza ndege nyingine 5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi ameeleza kuwa Serikali ipo katika mipango ya kununua ndege nyingine 5 ili ku [...]
Fahamu sifa za ndege ya Airbus A220-300
Kwa mujibu wa tovuti ya Airbus, Tanzania ndio nchi ya kwanza barani Afrika na ya tano duniani kumiliki ndege ya aina ya Airbus A220-300. Ukiachilia nd [...]