Category: Kitaifa
BASATA: Hakuna msanii kutolewa kwenye tuzo
Baada ya kuwepo kwa malalamiko kutoka kwa wasanii kuhusu uwepo wao kwenye baadhi ya vipengele vya kuwania tuzo za muziki na wengine kutaka kujitoa kwe [...]
Ziara ya Rais Samia Qatar yazidi kuvuta wawekezaji
Tangu ashike kijiti cha kuiongoza Tanzania, Rais Samia Suluhu amekuwa akienda kwenye ziara mbalimbali nje ya nchi jambo lililo ibua mitazamo tofauti h [...]
Bei mpya za mafuta, Petroli na Dizeli zashuka
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo ya mafuta ya petroli, dizeli na taa ambapo bei imepungua kwa Sh 187 kwa [...]
Wauzaji wa ndege zisizo na rubani ‘drones’ waitwa kujisajili
Taarifa kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tannzania (TCAA) kwa wauzaji wa drones.
[...]
Marekani yampongeza Rais Samia kwa uongozi bora
Huenda hatua ya kuboresha mifumo ya demokrasia nchini Tanzania iikaendelea kutoa matokeo chanya kutoka jumuiya za kimataifa mara baada ya Serikali ya [...]
Nondo 5 za Kamala kwa Tanzania
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amesema nchi yake itaendelea kufanya kazi pamoja na Tanzania ili kuimarisha uchumi wa nchi na pamoja kuimari [...]
Fahamu madudu matano ya CAG yaliyomkwaza Rais Samia
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema mageuzi ya kimfumo pamoja na usimamizi thabiti wa sheria ndio vitu vitakavyosaidia kupambana na ubadhiri [...]
Maana ya ujio wa Kamala nchini
Kwa mara ya kwanza, Kamala Harris, Makamu wa Rais wa Marekani atakanyaga ardhi ya Tanzania kesho Machi 29.
Safari yake ina umuhimu mkubwa kwa Tanza [...]
Vyombo vya habari 1,123 nchini vimesajiliwa
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye leo katika kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawa [...]
Mdee: Watendaji wanaokiuka sheria wachukuliwe hatua
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Ofisi ya Rais –TAMISEMI kufanya uchunguzi na kuchukua hatua kwa watendaji wat [...]