Category: Kitaifa
Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa mwezi mmoja
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeshauri Uwanja wa Benjamini Mkapa uliopo jijini Dar es Salaam kutotumika kwenye mechi zao kwa kile kilichoelezwa u [...]
Milioni 5 kila goli mechi zote za CAF
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa iliyowekwa [...]
Ndoto ya 1975 yatimizwa na Rais Samia
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere ya kujenga upya [...]
Ndege kubwa ya mizigo ATCL kuwasili nchini
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) limesema inatarajia kupokea Ndege nne kwa mwaka huu ambapo ndege kubwa ya mizigo itawasili nchini mwishoni mwa mwezi M [...]
Lissu arejea Ubelgiji
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, Tundu Lisu amerejea nchini Ubelgiji kufanya mchakato wa kuhuisha kibal [...]
Fahamu vitabu vilivyopigwa marufuku kutumika shuleni
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada kutumika katika shule za umma na binafsi [...]
Rais Samia ahimiza utekelezaji wa miradi ya umeme
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za Serikali au binafsi pamoja na mashirika kuacha urasimu katika utekelezaji wa miradi ya umeme [...]
Rais Samia kununua magoli ya Simba SC na Yanga SC
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Sh milioni 5 kwa kila goli litakalofungwa na wachezaji wa timu za Simba na Yanga wakati wa michuano inayoendel [...]
Sheria utoaji wa viungo vya ndani ya mwili mbioni kutungwa
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali iko mbioni kuja na sheria itakayoruhusu wananchi kuchangia viungo vya ndani ya mwili ikiwemo figo.
Wa [...]
Mpangaji amuua mwenye nyumba kisa kodi
Mkulima wa Kijiji na Kata ya Likongowele, Wilaya ya Liwale mkoani Lindi, Siamini Mtopoka (40), anadaiwa kuuawa na mpangaji wake Shabani Matola kwa kuk [...]