Category: Kitaifa
Waliokamatwa kwa vurugu kusamehewa
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Mashtaka kuwafutia makosa vijana wote walioonekana kushiriki maandamano yaliyosababisha vurugu Oktoba 29 [...]
Dkt Samia: Tutaongeza kasi kutekeleza tuliyoahidi
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuhakikisha kunakuwa na kasi ya utekelezaji wa ahadi na Ilani ya Uchaguzi ya CCM 202 [...]
Wakulima 368 mkoani Mara kunufaika na zana za umwagiliaji wa kisasa
Wakulima wadogo 368 kutoka mkoa wa Mara wamepata neema baada ya kukabidhiwa jozi 34 za mashine za umwagiliaji zenye thamani ya zaidi ya shilingi milio [...]
Makusanyo ya madini Simiyu yafikia zaidi ya 103%
AFISA Madini Mkazi wa Mkoa wa Simiyu, Mayigi Makolobela, amesema mkoa huo umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato yatokanayo na Sekta ya [...]
UVCCM: Tanzania ikiwa na amani ni faraja kwa nchi jirani
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amesema Tanzania ikiwa na amani ni faraja kwa nchi jirani, hasa zile zi [...]
HESLB yatoa bil 215.3/- kwa wanafunzi 66,987
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza rasmi awamu ya pili ya upangaji wa mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa vyuo ambapo wanafu [...]
Dkt. Samia aahidi ujenzi wa Uwanja Mkubwa wa Ndege Misenyi
Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Serikali yake itaanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege eneo la Kyabajwa, wilayani Mise [...]
Wenje: CHADEMA ilikimbia uchaguzi kwa kuogopa ushindani
Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana na kiongozi wa CHADEMA, sasa Kada wa CCM, Ezekiel Wenje, amesema ni hatari kwa taifa kuwa na kiongozi wa chama cha siasa [...]
ACT – Wazalendo yaahidi zahati moja kwa watu 1,000 ikipata ridhaa ya kuongoza nchi
Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo) kimesema kama kitapata ridhaa ya kuongoza nchi kitagharamia bajeti ya sekta ya afya kwa [...]
Vipaumbele 13 vya CUF kwa wananchi
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Nyambi Athuman amesema endapo wananchi watamchangua kuwa mbunge wao [...]

