Category: Kitaifa
Gridi nzima ya umeme ya taifa kufumuliwa
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema serikali inatajaria kuanza mradi mkubwa wa kufumua gridi nzima ya umeme ya taifa na kuirekebisha.
Lengo [...]
Lissu: Serikali ibane matumizi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo , (Chadema) amesema sababu ya kupanda kwa gharama za maisha nchi ni kodi ambazo serikali imeziw [...]
Maagizo ya Rais Samia kuhusu marekebisho ya sheria
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Katiba na Sheria, Wizara ya Fedha na Mipango, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kushirikiana kufanya mareke [...]
Miswada mitatu yaridhiwa na Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia miswada mitatu kuwa sheria kamili na tayari zimeanza kutumika.
Taarifa hiyo imetolewa leo Bungeni jijini Dodoma [...]
Rais Samia aweka historia
Kwa mara ya kwanza katika historia, benki za Tanzania zilipata faida ya jumla ya Sh. trilioni 1.16 mwaka 2022, huku zikisema faida hiyo inatokana na s [...]
Bashe atoa angalizo kilimo cha mtandaoni
Watanzania wameshauriwa kutojihusisha na shughuli za kilimo ambazo zinatangazwa na makampuni mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii, kwani kihalisia h [...]
80% ya kidato cha nne wafeli hesabu
Licha ya kuongezeka kwa shinikizo la kuongeza ubora wa ufaulu katika masomo ya hesabu na sayansi nchini Tanzania miaka ya hivi karibuni, hali bado mba [...]
Waliondaki matusi wafutiwa matokeo
Baraza la Mitihani (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa wanne wa kidato cha nne mwaka 2022 walioandika lugha za matusi katika mitihani yao.
[...]
Ufaulu kidato cha nne waongezeka kwa 0.49%
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,97 [...]
Asakwa kwa kumng’ata mama yake masikio
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, linamtafuta Michael Msapi (40), mkazi wa Kirando mkoani Rukwa kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumng’ata masikio yote mawil [...]