Category: Kitaifa
Siku ya bia duniani
Wakati ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Bia leo, wataalamu wameeleza kinywaji hicho kinapewa umuhimu kwa sababu ya kuwaunganisha watu katik [...]
Royal Tour yaleta mafuriko ya watalii nchini
Idadi ya watalii wanaokuja nchini baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kushiriki na kuongoza ziara za uzinduzi wa filamu ya Royal Tour nchini Marekani im [...]
Serikali yatenga bil. 2.1 kwa ajili ya mashindano ya UMITASHUMNTA na UMISSETA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendel [...]
Tanzania na China kuendeleza ushirikiano
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya watu wa China zimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo kwa kuzing [...]
Viongozi hakuna kutoka mpaka sensa imalizike
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewaagiza viongozi wa Serikali ngazi ya mkoa na wilaya [...]
Uwepo wa Monkeypox nchini
Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nc [...]
Utaratibu mpya wa NHIF wasitishwa
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesitisha mara moja utaratibu mpya wa matibabu uliotolewa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulioanza kutumika [...]
IGP Wambura afanya mabadiliko
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IJP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi ili kujaza nafasi zilizokuwa wazi. [...]
Bilioni 100 ya Samia yapunguza makali bei ya mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika [...]