Category: Kitaifa
Samia: Hakuna upungufu wa chakula
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado Tanzania ina chakula cha kutosha na hakuna tishio la kuwa na uhaba.
Alibainisha hayo jana katika uwanja wa Be [...]
Uber na Bolt kurejesha huduma
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafir [...]
Bima ya afya kwa wote
Rais Samia Suluhu amesema mkutano wa Bunge utakaoanza kesho, pamoja na mambo mengine, utapitia na kupitisha Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote [...]
Waziri Aweso amsimamisha kazi Meneja wa RUWASA
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa [...]
Rais Samia amaliza mgogoro uliodumu kwa miaka 22 Mtwara
Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha malipo ya Sh milioni 816.7 ikiwa ni fidia kwa wananchi wa Mangamba Juu manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwar [...]
Kikwete ampa tano Rais Samia Suluhu
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha ukusanyaji wa maoni, kuhusu [...]
Rungu la TCRA lawashukia Zama Mpya
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeitoza faini ya Sh milioni mbili luninga ya mtandaoni ya Zama Mpya kwa kosa la kuchapis [...]
Maambukizi ya Uviko-19 yapungua nchini
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini imepungua kutokana na hatua mbalimbali zinazochukuliwa kudhibiti [...]
Watanzania milioni 5.5 ni mbumbumbu
Wakati dunia leo akiadhimisha siku ya Kimataifa ya Kusoma na Kuandika, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco) limesema [...]
Maelekezo ya CCM kwa Serikali
Malalamiko ya utitiri wa kodi hususani za miamala ya simu na ya kibenki, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa iliyokutana [...]