Category: Makala
Matukio makubwa 10 yaliyotikisa Septemba 2021 nchini Tanzania
Siku 30 za Septemba zimemalizika usiku wa kuamkoa leo. Katika saa 720 za mwezi huo, matukio mengi yametokea nchini kuanzia kwenye siasa, michezo hadi [...]
Simulizi ya mfanyabiashara wa ngono mtandaoni na kisa cha kudhalilishwa
Biashara ya ngono imebadilika kutokana na changamoto mbalimbali kama UVIKO-19 pamoja na maendeleo ya teknolojia ambapo wadada wanafanya biashara hiyo [...]
Fahamu zaidi kuhusu mkutano atakaohutubia Rais Samia Marekani
Rais Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini na kwenda Marekani kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kidiplomasia kubwa ikiwa ni mkutano wa Baraza Kuu la [...]
Mbinu 10 za kukusaidia kupata watoto mapacha
Tafiti zinaonesha kwamba uwezekano wa mwanamke mmoja kubeba mimba ya mapacha ni 3%, na kuna njia mbalimbali zinaweza kuongeza uwezekano huu mpaka asil [...]
Nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani
Inaaminika kwamba dunia nzima ina watu zaidi ya bilioni 7. Idadi ya watu hupatikana kupitia sensa zinazofanywa na Serikali ya nchi husika au zinazofan [...]
Usiyoyajua kuhusu Dkt Ashatu Kijaji, Waziri mpya wa habari
Dkt Ashatu Kijaji ameapishwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Tumekuwekea baadhi ya taarifa zinazohusu safari ya Dkt. Kijaj [...]
Njia za kuwa mwanasiasa mwenye mafanikio
1.Shiriki katika mipango na shughuli za jamii.
Kabla ya kugombea nafasi yoyote katika serikali, utahitaji kushiriki katika nafasi za chini za siasa [...]
Mfahamu Dkt Tax, mwanamke wa kwanza kuwa Waziri wa ulinzi Tanzania.
Historia mpya imeandikwa leo nchini Tanzania ambapo kwa mara ya kwanza Tanzania imepata Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye ni mwanamke. [...]
Ifahamu ‘CV’ ya January Makamba
January Yusuph Makamba alizaliwa tarehe 28, Januari, 1974, akiwa mtoto wa kwanza wa Mzee Yusuf Makamba na mkewe Josephine.
Alipata elimu ya msingi [...]
Wafahamu mawaziri 7 wanawake Tanzania
Leo Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha Dkt. Ashatu Kijaji na Dkt. Stergomena Tax kuwa mawaziri. Uapisho huo unaifanya Tanzania kuwa na jumla ya mawa [...]