Category: Michezo
Tetesi za soka Ulaya leo Oktoba 02 (Henry akosoa kauli ya Wenger, Sterling njia panda Man City)
Mshambuliaji wa Fiorentina na Serbia Dusan Vlahovic, 21, ana ndoto za kuhamia Manchester City. Mabingwa hao pia walihusishwa na uhamisho msimu huu (Ga [...]
Matukio makubwa 10 yaliyotikisa Septemba 2021 nchini Tanzania
Siku 30 za Septemba zimemalizika usiku wa kuamkoa leo. Katika saa 720 za mwezi huo, matukio mengi yametokea nchini kuanzia kwenye siasa, michezo hadi [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 01 (Werner kurudi Bundersliga, Hatma ya Koeman Barcelona kuwekwa wazi Jumamosi hii)
West Ham huenda wakapata nafasi ya kumsajili Luca Pellegrini (22) huku mchezaji huyo wa Italia akijizatiti kupata nafasi ya kucheza Juventus (Calciome [...]
Huyu ndiye Mtanzania wa kwanza kucheza soka Ulaya
Sunday Manara alizaliwa miaka 67 iliyopita mkoani Kigoma na alianza elimu ya msingi mwaka 1961 katika shule ya White Fathers iliyokuwa Ujiji kabla ya [...]
Kibarua cha Solskjaer Manchester matatani
Klabu ya Manchester United imepoteza michezo mitatu katika michezo yao minne ya mwisho. Baada ya mpira wa adhabu (pentali) ya mchezaji wao Bruno Ferna [...]
Soma hapa wasifu wa Mwenyekiti mpya wa Simba SC
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kumteua Salim Abdallah, maarufu Try Again kuchukua n [...]
Mo Dewji afunguka sababu za ‘kujitoa’ Simba
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ametangaza kuachia nafasi ya uenyekiti katika bodi ya wakurugenzi ya [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Septemba 29 (Leroy Sane Kurudi Ligi Kuu ya England, Ndombele kumfuata Mourinho)
Barcelona na Real Madrid watakua miongoni mwa klabu zinazomwania kiungo wa kati wa Leicester Youri Tielemans, 24, ikiwa kiungo huyo wa kati wa Ubelgij [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Septemba 28 (Isco kutua Everton, Mata Kuondoka Man United)
West Ham ina mpango wa kumuuza Rice kwa dau la £90m ikijiandaa na dau la kumpata mrithi wake (Football Insider).
Meneja wa Everton Rafael Benitez a [...]
Mwanamuziki R. Kelly akutwa na hatia
Msanii gwiji wa miondoko ya RnB, Robert Kelly, maarufu R. Kelly amekutwa na hatia ya makosa ya ukatishaji fedha, kujipatia fedha kwa nguvu pamoja na k [...]