Category: Michezo
Tetesi za Soka Ulaya Leo Oktoba 24 (Suares bado yupo sana Atletico Madrid, Huku Lingard akinyatiwa na Everton, Westham na Newcastle)
Klabu ya Everton inaongoza mbio za kumsajili Jesse Lingard (28) kutoka Manchester United lakini kiungo huyo anasakwa pia na vilabu vya West Ham and Ne [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 23 (Sanchez kutimkia Everton, huku Real Madrid ikimfuatilia Antonio Rudiger)
Kipaumbele cha Antonio Rudiger ni kubakia Chelsea, lakini mchuano wa kutaka saini yake 'uko wazi' (Fabrizio Romano).
Klabu ya Everton inajiandaa ku [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 22 (Fonsesca njiani kuchukua nafasi ya Steve Bruce, Van de Beek kuikacha Man United Januari)
Klabu ya Newcastle imeanza mazungumzo na Paulo Fonsesca kuchukua nafasi ya kocha Steve Bruce aliachia nafasi hiyo hivi karibuni, mazungumzo hayo yatae [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 21 (Tielemans mbioni kuikacha Leicester City, huku Dyabala mambo safi ndani ya Juventus)
Kiungo wa Leicester City Youri Tielemans 24, amekataa ofa ya kuongeza mkataba mpya, na kuvifanya vilabu vya Manchester United, Chelsea, Liverpool, Rea [...]

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 17, 2021 (Ansu Fati bado yupo sana Barcelona, Newcaste na Leeds zamkosa Joe Rothwell)
Mshanbuliaji wa Barcelona Ansu Fati 18, amekubali kusaini mkataba mpya wa muda mrefu kusalia Barcelona kukiwa na kipengele cha ada ya £846m, akitaka k [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 19 (Unai Emery njia nyeupe kuelekea Newcastle, huku PSG ikifanya swap ya Icardi kumpata Aguero)
Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji Roberto Martinez, kocha wa Rangers Steven Gerrard na kocha wa Villarreal Unai Emery wanatajwa kuwa kwenye orodha ya [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 18 (Bale mbioni kutua Arsenal Januari, Ansu Fati ngoma ngumu ndani ya Barcelona)
Aliyekuwa kiungo wa Chelsea na England Ross Barkley 27, anawaniwa na klabu ya Burnley dirisha dogo la usajili mwezi Januari (Sun). Kutokana na kiwango [...]
Jose Mourinho anukia Newcastle United
Stori kubwa kwenye michezo wiki iliyopita ni klabu ya Newcastle United kununuliwa na mabilionea kutoka Saudi Arabia, hatua inayoifanya klabu hiyo kuwa [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 17 (Luka Jovic kutua Arsenal, huku Newcastle ikimnyatia Haaland)
Klabu ya Newcastle United inamsaka mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland, mchezaji huyo pia anafuatilwa na Real Madrid, Manchester City na [...]
Patson Daka: Mzambia aliyepeleka kilio Trafford
Patson Daka (23) alisajiliwa na klabu ya Leicester City kwa dau la Euro Milioni 23 kutoka klabu ya Salzburg nchini ya Austria. Daka kabla ya kujiunga [...]