Hati ya mashtaka yanayomkabili Makonda hii hapa

HomeKitaifa

Hati ya mashtaka yanayomkabili Makonda hii hapa

Saed Ahmed Kubenea ambaye mwandishi wa habari na mwanasiasa, amewasilisha maombi ya kufungua kesi dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Katika maombi yake aliyowasilisha kwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Kubenea anamshtaki Paul Makonda kwa matumizi mabaya ya madaraka, akijikita kwenye sakata lilitokea Machi 2017, ambapo Makonda alidai kuvamia kituo cha habari cha ‘Clouds Media Group’.

Mahakama imepokea maombi ya Kubenea, na kuzitaka pande zote zinazohusika kufika Mahakamani Desemba 3,2021 kwa ajili ya kusikiliza mashtaka yaliyowasilishwa na Kubenea.

Soma hapa hati ya mashtaka hayo dhidi ya Paul Makonda

 

Saed Kubenea.
error: Content is protected !!